90+4' Naaaaaaaaaaaaaaam mpira umekwisha uwanja wa Taifa, ambapo Simba SC wameibuka na ushindi wa bao moja bila majibu, likiwekwa kimiani na Ibrahim Ajibu 77'halafu hii simba mbovu ndio iko kwenye top 20 ya CAF, hii hata top 100 haistahili
Kwa hiyoo!!!???Simba ndo timu pekee ambayo haijafungwa toka imeanza pre season hadi saizi.
JinyongeKwa hiyoo!!!???
Katika kitu ambacho akiumizi wala hakishangazi ni kuona vipensi fc kutolewa CAF champion na kuangukia CAF confederation. Mana huko ndo saizi yao.Hatimaye mikia fc wametinga hatua za makundi CAF women champions league baada ya kuwafuga Bandari ya Mombasa
Ulitaka yebo yebo ndo wawepo hiyo nafasi ama? Watu bhana...halafu hii simba mbovu ndio iko kwenye top 20 ya CAF, hii hata top 100 haistahili
Inashangaza eti Simba inataka ilitaka kupiteza vipaji Kama Salamba na Mohamed Ibrahim,Hata amlipili ni Hazina angeendeleza Moto wa 2017 Leo angekuwa ni lulu ya TaifaTunamshukuru Sana Mfadhiri wa Simba Sports Club, kwa kuiwezesha timu kujiendesha bila migogoro na kuleta maendeleo ya haraka sana kwa kipindi kifupi.
Namtahadharisha Mwenyekiti mpya atakayechaguliwa kumrithi Mwenyekiti aliyejiuzuru.
Ampe ushirikiano mzuri mwekezaji.
Simba Sports Club msimu huu imestahili kutolewa mapema katika mashindano ya CAF.
Usajiri wa wachezaji wa Kigeni imekuwa wa kiwango cha chini sana.
Mchezaji wa Kigeni aliyepaswa kusajiriwa Simba ni Ali Abdalah Shiboub, ndiye mwenye kiwango cha Kimataifa.
Hao wengine viwango vyao Ni vya chini sana ukilinganisha na vya wachezaji wa hapa ndani.
Labda tu Kama Mfadhiri ameridhika kuwalipa au ndio malengo yake.
Nasema katika msimu ujao tutakapo shiriki mashindano ya kimataifa hao wachezaji hawatatufikisha tunakotarajia kufika.
Pia nawaona kama wanachangia kuua vipaji vya wachezaji wetu wa ndani.
Maana wanaziba nafasi kwa wachezaji wa ndani kukuza vipaji vyao ili watusaidie hata kwenye timu za taifa hapo baadae.
Pia wanawanyima nafasi wachezaji wa kikosi B kupanda na kukuza uwezo wao.
Tunawahitaji vijana Kama Rashidi Juma wacheze mara kwa mara ili kuisaidia timu ya taifa, tunawahitaji akina Mlipili, na wengineo wajenge uzoefu ili waende kutuwakilisha katika mashindano ya wachezaji wa ndani CHAN.
Tunataka timu ya Simba iwe chimbuko la wachezaji wa ndani wenye uwezo wa kusakata kabumbu hadi wapate soko nje ya nchi, Kama atakuja mchezaji wa nje basi awe katika kiwango cha Shibobu au zaidi.
Sasa hawa wachezaji wetu wa Kigeni wenye viwango vya kawaida wanakuwa kikwazo kwa maendeleo ya soka letu la ndani.
MO Kama anamalengo chanya na clabu ya Simba basi.
Katika dirisha dogo afanye kama nilivyoshauri hapo juu , Ila Kama anataka Simba icheze Mpira wa maonesho na Swaga huku ikiendelea kuondolewa na UD Songo basi sawa aiache timu Kama ilivyo.
Kwa jicho la kitaalamu Gerson fraga veira ni mchezaji aliyetimia. Complete player. Wabrazil wengine Santos 60%, walker henrique mmmh bado hajawafiti 35%, bado yupo chini Sana.Tunamshukuru Sana Mfadhiri wa Simba Sports Club, kwa kuiwezesha timu kujiendesha bila migogoro na kuleta maendeleo ya haraka sana kwa kipindi kifupi.
Namtahadharisha Mwenyekiti mpya atakayechaguliwa kumrithi Mwenyekiti aliyejiuzuru.
Ampe ushirikiano mzuri mwekezaji.
Simba Sports Club msimu huu imestahili kutolewa mapema katika mashindano ya CAF.
Usajiri wa wachezaji wa Kigeni imekuwa wa kiwango cha chini sana.
Mchezaji wa Kigeni aliyepaswa kusajiriwa Simba ni Ali Abdalah Shiboub, ndiye mwenye kiwango cha Kimataifa.
Hao wengine viwango vyao Ni vya chini sana ukilinganisha na vya wachezaji wa hapa ndani.
Labda tu Kama Mfadhiri ameridhika kuwalipa au ndio malengo yake.
Nasema katika msimu ujao tutakapo shiriki mashindano ya kimataifa hao wachezaji hawatatufikisha tunakotarajia kufika.
Pia nawaona kama wanachangia kuua vipaji vya wachezaji wetu wa ndani.
Maana wanaziba nafasi kwa wachezaji wa ndani kukuza vipaji vyao ili watusaidie hata kwenye timu za taifa hapo baadae.
Pia wanawanyima nafasi wachezaji wa kikosi B kupanda na kukuza uwezo wao.
Tunawahitaji vijana Kama Rashidi Juma wacheze mara kwa mara ili kuisaidia timu ya taifa, tunawahitaji akina Mlipili, na wengineo wajenge uzoefu ili waende kutuwakilisha katika mashindano ya wachezaji wa ndani CHAN.
Tunataka timu ya Simba iwe chimbuko la wachezaji wa ndani wenye uwezo wa kusakata kabumbu hadi wapate soko nje ya nchi, Kama atakuja mchezaji wa nje basi awe katika kiwango cha Shibobu au zaidi.
Sasa hawa wachezaji wetu wa Kigeni wenye viwango vya kawaida wanakuwa kikwazo kwa maendeleo ya soka letu la ndani.
MO Kama anamalengo chanya na clabu ya Simba basi.
Katika dirisha dogo afanye kama nilivyoshauri hapo juu , Ila Kama anataka Simba icheze Mpira wa maonesho na Swaga huku ikiendelea kuondolewa na UD Songo basi sawa aiache timu Kama ilivyo.
Hongera sana kwa mnyama90+4' Naaaaaaaaaaaaaaam mpira umekwisha uwanja wa Taifa, ambapo Simba SC wameibuka na ushindi wa bao moja bila majibu, likiwekwa kimiani na Ibrahim Ajibu 77'
Simba SC 1-0 Bandari FC
Hao wote hamna kitu huyo fraga unayemsifia hata amfikii mkude sisi tunataka mchezaji anayekuja hapa awe ana kiwango kikubwa kuliko mchezaji wa ndani.Kwa jicho la kitaalamu Gerson fraga veira ni mchezaji aliyetimia. Complete player. Wabrazil wengine Santos 60%, walker henrique mmmh bado hajawafiti 35%, bado yupo chini Sana.
Hata Santos umekosea kumpa 60%, kwangu nampa 95%, a very intelligent player, parnership yake either na Nyoni au na Wawa ipo vizuri sana.Kwa jicho la kitaalamu Gerson fraga veira ni mchezaji aliyetimia. Complete player. Wabrazil wengine Santos 60%, walker henrique mmmh bado hajawafiti 35%, bado yupo chini Sana.