International Friendly Match: Simba SC Vs Bandari FC, burudani ya pekee Uwanja wa Taifa

Kwa jicho la kitaalamu Gerson fraga veira ni mchezaji aliyetimia. Complete player. Wabrazil wengine Santos 60%, walker henrique mmmh bado hajawafiti 35%, bado yupo chini Sana.
Fraga Ni mzuri kwa kucheza kwa usahihi mipira ya pasi.
Ila hakabi kwa usahihi na anacheza rafu Sana.
Kwa nafasi yake namchagua Ndemla.
 
Inashangaza eti Simba inataka ilitaka kupiteza vipaji Kama Salamba na Mohamed Ibrahim,Hata amlipili ni Hazina angeendeleza Moto wa 2017 Leo angekuwa ni lulu ya Taifa
Salamba Ni mwenyewe alijibwetesha, hakutaka kutia bidii ya mazoezi na kiwango chake kilizidi kushuka siku Hadi siku.
MO Ibrahimu Ni mchezaji mzuri Sana ila alihitaji msaada wa kisaikolojia. Inaonekana kuwekwa Sana benchi kulimbughudhi na alishindwa wa kumwambia, alikuwa nacheza kinyonge hivyo kushindwa kuwa katika kiwango chake. Ni mchezaji mzuri Sana ana kila kipaji cha Mpira.
Jambo hili linaweza kumtokea Mlipili pia, Kama ataendelea kukaa benchi hata kwenye mechi za Namungo fc.
 
Santos Umri unamsumbua, akikutana na washambuliaji wenye kasi anapata shida sana, angalia kwa Makini mechi na Mtibwa Sugar.
Kimataifa ukimweka awazuie Waarabu utamkataa.
Simba inahitaji Mabeki vijana wenyenguvu na Kasi kubwa.
 
Fraga Ni mzuri kwa kucheza kwa usahihi mipira ya pasi.
Ila hakabi kwa usahihi na anacheza rafu Sana.
Kwa nafasi yake namchagua Ndemla.
Mkuu, huyu fraga muda si mrefu watu wataanza kumwimbia wimbo, ni mkata umeme wa hatari, mpe muda kidogo. Hata James Kotei alivyoanza walimponda Sana.
 
Mkuu wewe ni shabiki maandazi.
Wewe unamuona Bora kwasababu anacheza na timu Kama ruvushooting n.k ngojea tukutane na timu Kama Tp mazembe,Esperance uone huyo mbrazili wako atan'gara? Mashabiki aina yako ndo mtaifanya Simba isifike mbali
 
Kwa observation yangu, jamaa bado ni mzito Sana Hana kasi, kukaba man to man yupo vizuri sana, mipira ya juu ana-win vizuri. Nakubaliana na hoja zako though.
 
Hapa nakuunga mkono 100% hata sub ya jana ya Deo Kanda na kuingia Rashid Juma Kiberenge amekuwa bora zaidi na kutengeneza goli.
 
Santos Umri unamsumbua, akikutana na washambuliaji wenye kasi anapata shida sana, angalia kwa Makini mechi na Mtibwa Sugar.
Kimataifa ukimweka awazuie Waarabu utamkataa.
Simba inahitaji Mabeki vijana wenyenguvu na Kasi kubwa.
Mechi ya jana ilikuwa ngumu sana, Bandari ni wazuri na wanashambulia kwa kasi ila aliwamudu kwa sababu central defender anatakiwa awe na akili zaidi kuliko hata kasi.

Amecheza na UD Songo mechi zote mbili na he was ok, amecheza na Kagera Sugar pia. Na sasa Aussems ameanza kumwamini kwenye hiyo role.
 
Mkuu, huyu fraga muda si mrefu watu wataanza kumwimbia wimbo, ni mkata umeme wa hatari, mpe muda kidogo. Hata James Kotei alivyoanza walimponda Sana.
Mtangazaji jana alikuwa anasema jamaa anaonekana kama mayai ila ukikutana nae lazima ukae chini, ana nguvu na stamina sana halafu anacheza 'book footbal'.
 
Hapa nakuunga mkono 100% hata sub ya jana ya Deo Kanda na kuingia Rashid Juma Kiberenge amekuwa bora zaidi na kutengeneza goli.
Ndio, na huo ndio uhalisia wa Timu ya Simba kwasasa.
Wachezaji wazuri wanaachwa nje. Angalia Sub ya Jana, alivyotolewa Kanda na Wilka na kuingizwa wazalendo Ndemla na Rashidi Mpira ulibadilika kabisa na kuleta matokeo mazuri.
Angalia Mechi na UD Songo Daresalaam. Mzamiru alikuwa Benchi na Ndemla na Miraji.
Miraji kaingia dakika za Mwisho na kusababisha Goli baada ya kukwatuliwa ndani ya Box.
Ninauhakika Miraji, Mzamiru, Ndemla na Ajib wangeanza kipindi cha kwanza tungewaondoa wamakonde.
Mimi naona kabisa kocha Aussein anawaonea aibu hao wageni kuwaweka benchi, au analazimishwa kuwapanga na wadhamini wake.
Mchezaji mgeni hata akicheza chini ya kiwango Aussein anakuwa na kigugumizi kikubwa cha kuwafanyia Sub kwa
wakati.
Mwaka huu imekuwa ni wa Aibu kwa timu ya Simba pamoja na udhamini mzuri hatupo kimataifa.
Waacheni akina Rashidi wacheze ili tuwauze nje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…