Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 18,069
- 25,172
Watanzania tutofautishe na matumizi ya maneno international na overseas au abroad. International ni baina ya mataifa yote duniani ikiwamo Tanzania, usitumie neno international kama unataka kusema nje ya Tanzania. Neno la kutumika hapo ni overseas au abroad ukiwa na maana ya mataifa yote yaliyoko nje ya mipaka ya Tanzania.