Mbona wewe nawe unaleta longo longo tu hujaleta mfano wowote hap. Umeleta quoti ya online dictionary ukiwa umeitafsiri vibaya.Weka mfano hapa tuuangalie acha longolongo.
Mimi nimekuwekea mfano wa British Overseas Territories.Mbona wewe nawe unaleta longo longo tu hujaleta mfano wowote hap. Umeleta quoti ya onl;ine dictionary ukiwa umeitafsiri vibara.
Ngoja nikueleze kitu kimoja. Wakati wa ukoloni, mashamba ya karanga yaliyokuwa yanamilikiwa na wakoloni pale Kongwa yalishambuliwa sana panya. Wakoloni wale wakajiri watu wa kupambana na panya hao. Waafrika waliojiriwa kufanya kazi hiyo walikuwa wakiitwa "Rat Catchers" halafu wazungu na wahindi waliokuwa anafanya kazi hiyo hiyo walikuwa wanaitwa "Rodent Officers."
Sasa wewe unasumbuliwa sana akili ya kutokujua tofauti ya "Rat Catcher" na "Rodent Officer" katika scenario kama hiyo. Ni Ufinyu mkubwa sana wa akili unaokusumbua ukitaka utamaduni na mazingira ya waingereza wakati huo ndiyo yendelee kutawala hadi leo. Unaonekana kuelemewa sana na uzito wa kukariri mambo.
Marahemu Senator McCain alizaliwa Panma, lakini wakati anagombea urasi kwa mara ya kwanzi kulikuwa na watu waliotaka kumpinga kwa madai kuwa alizaliwa Overseas.
Kwako wewe "rodent officer" ni tofauti na "rat catcher" kwenye cotext yasimulizi hiyo niliyo weka au sivyo? Hujui kuwa context matters! Kwako wewe neno ovreseas lina maana kwa watu wanaoishi visiwani tu au siyo? Sikkujuakuwa na wewe una ufinyu wa kutisha namna hii. Unaposikia phrase kuwa "words matters" huwa haimaanishi neno moja moja kutokana na historical roots zake bali ni jinsi lilivyootumika katika mawasiliano. Wewe uko obsessed na historirical meanings za maneno ambayo yana maana tofuti sana kwenye matumizi ya kileo. Hata kwenye kiswahli ukimwamusha Shaaban Robert ukamawambia kuwa kuna watu wanaitwa "mabeberu", atakushangaa kama wewe unavyoshangaa kuwa oversease ni nje ya mipaka bila kujali kama umevuka maji.Mimi nimekuwekea mfano wa British Overseas Territories.
Ziko 14.
Wewe hujaweka mfano hata mmoja.
Weka hapa mfano verbatim neno kwa neno kutoka kwa a reputabke publication ya a native English speaking country.
Sio longolongo tupu.
Kwako wewe "rodent officer" ni tofauti na "rat catcher" kwenye cotext yasimulizi hiyo niliyo weka au sivyo? Hujui kuwa context matters! Kwako wewe neno ovreseas lina maana kwa watu wanaoishi visiwani tu au siyo? Sikkujuakuwa na wewe una ufinyu wa kutisha namna hii. Unaposikia phrase kuwa "words matters" huwa haimaanishi neno moja moja kutokana na historical roots zake bali ni jinsi lilivyootumika katika mawasiliano. Wewe uko obsessed na historirical meanings za maneno ambayo yana maana tofuti sana kwenye matumizi ya kileo. Hata kwenye kiswahli ukimwamusha Shaaban Robert ukamawambia kuwa kuna watu wanaitwa "mabeberu", atakushangaa kama wewe unavyoshangaa kuwa oversease ni nje ya mipaka bila kujali kama umevuka maji.
[Over] sea ....ukitaka kujua maana halisi ya neno tafuta historia yake. Kwanini lilianza kutumika na ni lini....Kwako wewe "rodent officer" ni tofauti na "rat catcher" kwenye cotext yasimulizi hiyo niliyo weka au sivyo? Hujui kuwa context matters! Kwako wewe neno ovreseas lina maana kwa watu wanaoishi visiwani tu au siyo? Sikkujuakuwa na wewe una ufinyu wa kutisha namna hii. Unaposikia phrase kuwa "words matters" huwa haimaanishi neno moja moja kutokana na historical roots zake bali ni jinsi lilivyootumika katika mawasiliano. Wewe uko obsessed na historirical meanings za maneno ambayo yana maana tofuti sana kwenye matumizi ya kileo. Hata kwenye kiswahli ukimwamusha Shaaban Robert ukamawambia kuwa kuna watu wanaitwa "mabeberu", atakushangaa kama wewe unavyoshangaa kuwa oversease ni nje ya mipaka bila kujali kama umevuka maji.
Hicho kijamaa kinabishana na kamusi ya Oxford, halafu kimeshindwa kuweka mfano wa kuonesha point yake.[Over] sea ....ukitaka kujua maana halisi ya neno tafuta historia yake. Kwanini lilianza kutumika na ni lini....
Huwezi ukawa Kenya halafu ukasema upo overseas au upo Poland kutokea Ujerumani ukasema upo overseas.
Kutumika kwa neno kimakosa hakulifanyi kuwa sahihi. Tuelewe ndege zimeanza 1900s kabla ya hapo usafiri ulikuwa wa majini....
Hicho kijamaa kinabishana na kamusi ya Oxford, halafu kimeshindwa kuweka mfano wa kuonesha point yake.
Nyinyi mna matatizo ya kukariri maneno eti kwa sababu ya historia bila kukubalia mabadiliko. Chimbvoko la neno overseas ni nchi zote zilizokuwa nje ya uingereza, ambayo imezungukwa na bahari pande zote hivyo il mtu ende njye ya uingerezea lazima atumie meli. Hiyo ni karne nyingi sana zilizopita. Kwa matumi ya leo, overseas ni nchi yoyote nje ya mipaka ya nchi yako. Ni kawaida sana kwa wamarekani kwende Cancun Mexico na kusema walikua overseas, na hata wakanada wanapokuja marekani husema wamekwenda overseas! Mwulize AI akuambia maana ya overseas leo.[Over] sea ....ukitaka kujua maana halisi ya neno tafuta historia yake. Kwanini lilianza kutumika na ni lini....
Huwezi ukawa Kenya halafu ukasema upo overseas au upo Poland kutokea Ujerumani ukasema upo overseas.
Kutumika kwa neno kimakosa hakulifanyi kuwa sahihi. Tuelewe ndege zimeanza 1900s kabla ya hapo usafiri ulikuwa wa majini....
Typically.....Nyinyi mna matatizo ya kukariri maneno eti kwa sababu ya historia bila kukubalia mabadiliko. Chimbvoko la neno overseas ni nchi zote zilizokuwa nje ya uingereza, ambayo imezungukwa na bahari pande zote hivyo il mtu ende njye ya uingerezea lazima atumie meli. Hiyo ni karne nyingi sana zilizopita. Kwa matumi ya leo, overseas ni nchi yoyote nje ya mipaka ya nchi yako. Ni kawaida sana kwa wamarekani kwende Cancun Mexico na kusema walikua overseas, na hata wakanada wanapokuja marekani husema wamekwenda overseas! Mwulize AI akuambia maana ya overseas leo.
View attachment 3476744
Kwa hiyo wewe ni mjuzi zaidi ya AI? Nimeleta AI kukuonyesha tu kuwa matumizi ya neno oversease nia mapana sana leo. Usisema kuwa Ai inaongopa!Typically.....
AI inawasaidia wasioelewa tu ili nao watumie lugha. Kwa maelezo uliyoweka hapo juu umeambiwa maana sahihi ya neno lakini kwasababu kuna wanaokosea matumizi hakuna namna zaidi ya kukubali kuwastahi tu.
Ni sawa na neno "pampers" kibongobongo.... kila diapers inaitwa pampers.... kiasi kwamba nikienda kwa mangi nikasema naomba diapers Mangi atanishangaa wakati nipo sahihi.
Ila nikimtajia pampers hata kama sio brand ya pampers nitapewa brand nyingine akijua jina halisi la diaper ni pampers.
Unabishana vipi na mtu anayesema kutoka Tanzania kwenda Kenya ni kwenda overseas, anabishana mpaka na Oxford dictionary?
Nimecheka mno mkuuUnabishana vipi na mtu anayesema kutoka Tanzania kwenda Kenya ni kwenda overseas, anabishana mpaka na Oxford dictionary?
Tuna maisha nje ya JF ujue, weekend tuna enjoy maisha, nice restaurants, hang out with friends, long drive on I-95 listening to Madlib smelling like Prada.
Unataka nibishane na vinyamkera wa JF muda wote kwa ubaya gani wa maisha yangu ya nje ya JF?