joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Sasa kama mabwana zenu wamarekani ndio wsliochapisha, ninyi mavi ya wazungu mnathamani gani?, acha wachapishe tu, stupid ninyi.Wewe utakaa kimya mwili wa jamaa yako umechapishwa magazetini?
So to you, anything is bad only when it happens to you and not others? Hujali kwa sababu sio wewe kimekutendekea?Swali gani maana unauliza swali kwa mtu ambae sio muhusika!
Wakati wa kuuliza swali uliza kwa muhusika sahihi.
Wauwawe wengine swali la unajisikiaje ndugu yako alieuwawa picha kuwekwa kwenye gazeti sio sahihi kwangu maana hakuna ndugu yangu alieuwawa.
Uliza waliofiwa,sio mimi maana sijafiwa wewe raia!
Nimejulia hili humu kwamba wakenya wanalalamika. Sijui kama ni KOT ama ni wakenya wepi. Kazi yangu ni kushabikia hapa. Imedhihirika kwambawakenya hawaabudu ngozi nyeupe tofauti na wewe na avatar yako ni ushahidi tosha. Mbona unawatetea hawa wazungu hivi lakini? Watz kwa unafiki hamjambo.
So to you, anything is bad only when it happens to you and not others? Hujali kwa sababu sio wewe kimekutendekea?
Ushaona magazeti yenu yakichapisha miili ya wazungu ama hata wanajeshi wenu waliokatakatwa Kule Congo? Commonsense! Weka nakala moja kama ipo.Huelewi
Nimesema hivi,swali ulilouliza kwangu sio kwa muhusika sahihi......
Muulize aliefiwa ndio atakupa jibu sahihi!Basi.
Mengine ni kwamba unaleta blah blah nyingiii zisizo na maana!
Wewe kufiwa na kusikia maumivu hakufanyi wengine waache ku-report na kufanya kazi yao!
Wewe kufiwa au ndugu zako kuuawa sio kigezo dunia ya journalism isifanye kazi yake sababu utaumia moyo wewe binafsi,thats nonsense!
Ushaona magazeti yenu yakichapisha miili ya wazungu ama hata wanajeshi wenu waliokatakatwa Kule Congo? Commonsense! Weka nakala moja kama ipo.
Ya Syria je?
Ya 9/11 NYC mwaka 2001 je?
Na mengine mengi all around the world?
Kenya mnalialia sana watoto wa mama nyie!
From my village to Kenya is like 15minutes,I had alot of respect for you guys for a long long time
But now I'm re-evaluating,I give 0 respects now!
Such a bunch of cry babies!
So gazeti za TZ zilichapisha miili ya waadhiriwa wa 911? Hebu weka nakala moja nijionee ama kama huna nikuchekelee.Ya Syria je?
Ya 9/11 NYC mwaka 2001 je?
Na mengine mengi all around the world?
Kenya mnalialia sana watoto wa mama nyie!
From my village to Kenya is like 15minutes,I had alot of respect for you guys for a long long time
But now I'm re-evaluating,I give 0 respects now!
Such a bunch of cry babies!
So gazeti za TZ zilichapisha miili ya waadhiriwa wa 911? Hebu weka nakala moja nijionee ama kama huna nikuchekelee.
Tz journalism ni mchezo. Sasa weka hizo nakala unasema.Magazeti ya TZ kutokuchapisha haimaanishi huko duniani magazeti mengine hayajachapisha!
Sasa wewe unachukulia magazeti ya TZ au KE ndio SI unit ya journalism duniani?
Tz journalism ni mchezo. Sasa weka hizo nakala unasema.
Tutachukua hatua subiri. Hawakuweka picha ya Paris attack. London attack au 9/11 attack. Hata ile ya Las Vegas hawakuweka. These racists ni wajinga sana. Ikiwa ni mwafrika wataweka picha yake mbovu ila yao hawawezi weka. Matak* yao.Acheni sasa kulalamikia kila mtu, ninyi mnapenda sana kulialia kama watoto yatima, kila kinachofanywa ninyi mnahisi mnanyanyaswa, New York Times wamekua wakiandika na kuweka picha za matukio kama haya yanapotokea duniani kote, vipi ninyi mlalamike kama kwamba ndio wameanza kuweka picha za Kenya pekee?. Sasa wamekataa kuomba msamaha na wamekataa kuziondoa hizo picha, chukueni hatua kama mnaweza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnatusaidia ama mnatutumia wale omba omba wenu wamejaa kila pande za Kenya.Mkuu,journalism usiyoipenda imekukumba!
Kubaliana na hali!
Itakuja nzuri,Wakenya mtasifiwa sana,mtafurahi!
For now,we are sorry we can't help you,that's that!
Kote huko ulikotaja waliweka picha, tabia yenu ninyi wakenya ni kulialia tu kama watoto, angalieni mnavyolia eti redio na TV zenu hazichezi mziki wa Kenya bali ni muziki wa Nigeria na Tanzania zaidi.Tutachukua hatua subiri. Hawakuweka picha ya Paris attack. London attack au 9/11 attack. Hata ile ya Las Vegas hawakuweka. These racists ni wajinga sana. Ikiwa ni mwafrika wataweka picha yake mbovu ila yao hawawezi weka. Matak* yao.
Leta evidence eti waliweka picha za maiti za wazungu kwa gazeti. Mimi sio mjinga nikisema hawakuweka picha.Kote huko ulikotaja waliweka picha, tabia yenu ninyi wakenya ni kulialia tu kama watoto, angalieni mnavyolia eti redio na TV zenu hazichezi mziki wa Kenya bali ni muziki wa Nigeria na Tanzania zaidi.
Ninyi ndio mliokua mnasema hamlindi soko la ndani bali mnaachia nguvu ya soko katika biashara, mlipogundua hamuwezi kupambana na Tanzania na Nigeria katika muziki, mnaanza kulialia na kuonyesha "your true color". Ninyi wakenya ndio wabaguzi sana na racists zaidi kuliko hao wazungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani kakwambia?
Ame-report as it is....na umejuaje mwenye picha alikua amekufa umempima online?
Unataka a-report unavyotaka wewe?
Hajatukana mtu,yeye kareport kama ilivyo,na for your information wao wanaona wamezingatia maadili yote ya uandishi wa habari.
Sometimes,achana na vitu ambavyo huwezi ku-control,shughulika na vile unavyoweza!
Acha journalism kama journalism ifanye kazi yake!
Sijui tunalialia nini sasa?
Wakenya mnatabia ya kulalamikia kama vifaranga vya bata, New York Time wamekuwa wakiweka picha za matukio yote yanayotokea hawababugui, hatujasikia nchi zikilakamika.
Ninyi ni tabia yenu kulalamikia, Tanzanian tulichoma vifaranga vya Malawi lakini hawakulalamika, tulikamata ng'ombe za Rwanda tukazitaifa lakini hawakulakamika, tumewarudisha kwao raia wa Malawi, Zambia, Burundi, Rwanda, DRC na Uganda lakini hawalalamiki, ninyi ni watu wa ajabu sana, dunia inawachoka. New York Time wamekataa kuomba msamaha na kuzitoa hizo picha, fanyeni vile mnaweza, hovyo kabisa ninyi.
Sent using Jamii Forums mobile app
siyo MwAfrika mnyama, ila mKenya ndo mnyama. recall Lord Dalamare alivyomuua mwenzenu akasema ni nguruwe. kesi ikaisha akaachiwa.
Mnatusaidia ama mnatutumia wale omba omba wenu wamejaa kila pande za Kenya.
Halafu nangoja gazeti ulizosema zimechapishwa hizo Picha.