Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Novemba unasafiri kwa bullet train. Sio?
Hahahahaha
Usinichekeshe,hiyo Bullet Train umeme wa kuiwasha upo wapi?
Au tusukume kwa mikono!?
Kweli Yohana kawadanganyeni kweli,na mnadhani kweli?
Woiii