Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Do your research bro. Ebu enda ulinganishe Paris/9/11 attack na Nairobi attacks from 1998 bombing to Riverside attack then you'll know exactly what I'm talking about.
Sent using Jamii Forums mobile app
Heheheeee mathayo , mkenya aje kuwa ombaomba tz?Omba omba wa TZ kujaa Kenya sio tatizo.....
Sema na sisi hatujatoa takwimu za ombaomba wa Kenya waliopo Tanzania!
Nyie kutoa takwimu zenu haimaanishi kua eti ombaomba wa Kenya hawapo TZ pia!
Wakenya mnapenda promo sana aisee!
Heheheeee mathayo , mkenya aje kuwa ombaomba tz?
Sawa mathayo. Sasa lete ushahidi wa wakenya wakiomba vyakula na kazi tzJeni
Unanifurahisha sana...yaani kwetu ni hatua chache kufika Taveta!
Wamechoka kinoma wanakuja kuomba vyakula na kazi TZ!
Ushahidi ninao bana!
Sema TZ hua hatupendi kutoa takwimu hua tunakula kimyaaaaa!
Wakenya sasa....tarariraaaaa hapa na Yemen!
Mnapiga makelelee weeeeee!
Woiii,siwawezi na makelele yenu!
Sawa mathayo. Sasa lete ushahidi wa wakenya wakiomba vyakula na kazi tz
hahahahaha Jimmy wanjigi naye anamiliki ardhi?Tena Si familia ya Kenyatta na mzungu?Aisee wabongo wakati mwingine muwe na msimamo.Acheni kuji~contradict bana!Hahahahaha
Jeni una vituko kama Mambo Mbotela!
You well know I can not do it online hapa kama unavyotaka!
What I know ni kwamba I know Kenya mtu kwanza kua na ardhi tu ni uwe tajiri level za Jimmy Wanjigi.....
Most Kenyans njaa ni ya kutosha,na wanakuja sana kwetu walao maisha ni easier!
Nimezaliwa mpakani najua pande zote mbili..
Acha kabisa!
hahahahaha Jimmy wanjigi naye anamiliki ardhi?Tena Si familia ya Kenyatta na mzungu?Aisee wabongo wakati mwingine muwe na msimamo.Acheni kuji~contradict bana!
Hahaha hebu acha kutania. Naweza fungasha virago niwahi huko sasa hivi unipe hiyo ardhi π.Hakuna anayechukia cha bure πSasa Jeni unataka kusema Jimmy Wanjigi hana ardhi?
Ana ardhi nearly nusu ya akina Kenyatta!
Haya njoo kwa wanjiku Jeni,mama una ardhi under your name?
Jibu ni noooooooo!
Njoo TZ nikupe heka za kutosha bure!
Hahaha hebu acha kutania. Naweza fungasha virago niwahi huko sasa hivi unipe hiyo ardhi π.Hakuna anayechukia cha bure π
Ardhi ni ya serikali huko. Dikteta yohana atakuadhibu vikali sana ukijaribu kucheza nayoSiku unapata trip ya kuja TZ wewe nicheck PM nikutwange heka mbili kwanza ili uache kelele!
All legal,with all the documents!
Hatutaki mchezo bana!
Ardhi ni ya serikali huko. Dikteta yohana atakuadhibu vikali sana ukijaribu kucheza nayo
HahaπI heard ni mpaka 2025.Vumilia ndugu.Ni ya serikali ila una-lease kwa 99 years ambayo by definition ni "lifetime"!
Halafu ukitaka una-extend another 99years...!
Ni raha tu!
Serikali ikisema inaitaka inakulipa full!
Yohana ni hewa tu,hatumpendi kabisa,2020 mwisho wake!
HahaπI heard ni mpaka 2025.Vumilia ndugu.
Tumekumuta maadui sana, saiv jeshi letu limetulia linakula na kubandua korosho.Wacha tulalamike, Jeshi lenu limeingia kazi ya kununua na kuuza korosho na sasa mnajifanya experts wa Security na counter-intelligence..
πππ ichoboy01 ona huyu. Anataka kumuondoa magu chuma mamlakani. Haoni yale jiwe amefanya for 2yrsHavumilii mtu!
Tushachoka kabisa!
Tunakiwasha 2020...Lazima akimbie!
πππ ichoboy01 ona huyu. Anataka kumuondoa magu chuma mamlakani. Haoni yale jiwe amefanya for 2yrs
Sgr,bullet trains
Brt phase 6&7
Stiglers gorge
Darport expansion
Bagamoyo port
GDP growth
Industrialization
etcetera
Acheni sasa kulalamikia kila mtu, ninyi mnapenda sana kulialia kama watoto yatima, kila kinachofanywa ninyi mnahisi mnanyanyaswa, New York Times wamekua wakiandika na kuweka picha za matukio kama haya yanapotokea duniani kote, vipi ninyi mlalamike kama kwamba ndio wameanza kuweka picha za Kenya pekee?. Sasa wamekataa kuomba msamaha na wamekataa kuziondoa hizo picha, chukueni hatua kama mnaweza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Novemba unasafiri kwa bullet train. Sio?Jeni
Who cares about these?
Hakuna hata kimoja kilichokamilika hapo!
Just blah blah tu...!
Yohana my black ass!
Lete evidence kuonyesha kwamba hawa kuweka, hata Mimi sio mjinga kwasababu New York Times wamesema huwa wanaweka picha na sio Mara yakwanza kufanya hivyo, anayepinga ni jukumu lake kuthibitisha na sio vinginevyo. Vipi kuhusu hili la kulalamikia vyombo vyenu vya habari kutokucheza muziki wa Kenya?, acheni tabia za kulialia dunia itawachoka.Leta evidence eti waliweka picha za maiti za wazungu kwa gazeti. Mimi sio mjinga nikisema hawakuweka picha.
Kama una ushahidi wa kupinga ninayosema lete hapa, sio kunipa home work kwa niaba yako.Do your research bro. Ebu enda ulinganishe Paris/9/11 attack na Nairobi attacks from 1998 bombing to Riverside attack then you'll know exactly what I'm talking about.
Sent using Jamii Forums mobile app