International Press expose New York Times Journalist amid Kenyans uproar

chunga sana matamshi yako katika hii mitaa ya jf, wasiojulikana ni wenyeji hapa.

Nimemtaja nani mzee?

Halafu staili za kuogopesha watu hata wakiwa wanawaongelea jamaa zao ni captivity!

Sijataja yeyote wa serikali yenu mzee.

Find me when you see me,its about who gets who first though!

I ain't super nigga,I'm a skinny mutherfucker, but dont get twisted!

But if its me gettin you first,your ass is on the line just like mine's!
 
Wewe ndio umesema huwa wanaweka, itakuwa rahisi wewe kupost toleo moja tu la gazeti la new york times inayoonesha maiti ya mzungu. Mimi itakuwa vigumu kuprove kwa sababu itanibidi nipost toleo zote za new york times kuanzia before the year 2000 hadi leo ili kuprove kuwa hawaweki picha za maiti. Wewe kazi yako ni rahisi, weka tu picha moja halafu utakuwa umeshinda. Wewe pia umetoa madai na ni sharti uyadhibitishe kwani madai yako ni rahisi kudhibitisha kushinda yangu kwani itanibidi nipitie magazeti yote ili kidhihirisha kwamba hawaweki picha za maiti yao. Lakini bado nasimama na madai yangu
 
bro, 'cum' ur tities maan, can't believe you joined jf 2yrs ago but can't understand my post.
ok, let me break it down for you.
-wasiojulikana - tz secret police(in charge of hunting down critics of the regime - recent successes 1. shooting tundu lissu, 2. Abducting Mo Dewji)
-Your truth comes out as criticism of jiwe and the regime, so if u r in tz, better watch out.

****I'm a proud Kenyan, and my comment was on a light note.
 
Wenyewe The New York Times hoja waliyotumia kukataa kuomba msamaha na kukataa kuziondoa hizo picha za Kenya ni kwamba wao huweka hizo picha duniani kote hawana ubaguzi, mlipaswa ninyi wakenya muwaambie wathibitishe hilo badala ya kupinga na kuendelea kulalamikia bila kuchukua hatua yoyote.

Mimi nitaendelea kuwaamini New York Times kwasababu ninyi ni walalamishi sana na watu wa kulialia kwa kila jambo, mumekua kila siku mnamlilia Magufuli na Tanzania kwa ujumla, mfano mzuri ni hili sakata la play Kenyan music ambalo unakwepa kulizungumzia, punguzeni kulialia dunia itawachoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Knew all that....

My point was that,its not as easy as it looks to get someone!

They have to sweat their black asses off to get me....And they see me when they see me!

Wasiojulikana get some and miss some,they are third world's humans like us!

Been in JF since 2010 bro,changed my ID coupla'times,this the newest!

Got'cho point well though!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…