International School of Tanganyika watoto wanaenda shule kama Kawa ila Ems na Kayumba wote nyumbani, ndio mzazi ujue tofauti ya private na public

Wewe Upo kinyume na mtoa mada.

Hoja ya mtoa Mada ni: Kama pesa ipo mpeleke International Schools.

Kama pesa haipo mpeleke Kayumba.

Usimpeleke Ems Kwa sababu Ems ni kayumba iliyo changamka
Narudia tena kama pesa ipo mpeleke hiyo hiyo kayumba iliyochangamka na kama hauna mpeleke Kayumba OG.

Sijawahi kuona mtu aliye vizuri kiuchumi -middle income akasomesha mtoto KAYUMBA...wengi wanaosomesha KAYUMBA ni Pangu pakavu TIA mchuzi.
 
Mbishi kama sura yako
 
Hadi huku Chanika ninako ishi mimi shule zimefungwa. Chanika na posta wapi na wapi
Hilo tangazo lina manufaa sana kwa wafanyabiashara za shule. Ghalama ya usafiri na chakula kwa siku mbili mfukoni. Hapo vitabu vinabalance vizuri
 
Niko na vijana 2, mmoja anaturn 7 years this February na yuko STD 3, na mdogo wake ana miaka 4, yuko kindergarten. Wanasoma EMS. Sababu zangu za kuwapeleka EM
1. Mazingira ya shule. Kabla ya kuwapeleka shule tuliitembelea kujiridhisha na mazingira. Wana mazingira safi.
2. Idadi ya wanafunzi. Huyu wa darasa la tatu wako 12 tu darasani na huyu wa kindergarten wako 10. Ni rahisi kwa mwalimu kufuatilia maendeleo ya mtoto kwa uchache huu.
3. Usalama wa watoto. Japo suala la usalama wa watoto ni la Mungu (kwa wanaoamini), but kama wazazi we have our part to play. At least gari ya njano inayowabeba kuwapeleka na kuwarudisha shule huwa ina mwalimu wa kike. Plus, wanamchukulia getini, tunampokelea getini.
4. Chakula. Ni kweli, tunalipa pesa nyingi kidogo kuliko Kayumba, lakini vijana wanakula shule. Kabla ya kutoka home huwa wamepata chochote, then ratiba za shule zinaendelea. Wanaweza wasiifuate ratiba ya diet waliotuonyesha to the dot but the kids have never complained. And we have probed them.
5. Confidence. Hii inaweza isiwe na uhusiano wa moja kwa moja na kusoma EM, lakini, naona watoto wako more confident na mambo yao kuliko mimi nilivyokuwa na umri mkubwa kuliko wao. Huyu wa darasa la 3 ana confidence hata ya kuongea broken English hivyo hivyo, kitu kilichosababisha mpaka leo nakwepa sana fursa za mijadala inayohusisha lugha ya malkia. To we parents, that's a huge bonus.
CHANGAMOTO HAZIKOSEKANI. Kubwa kabisa ni ile inayowanyima fursa ya kujifunza maisha halisi ya mtaani (kujichanganya na kujitegemea).
 
Those days za ujima nilichaguliwa kujiunga na moja ya shule zilizotambulika kama za vipaji maalumu/pekee nikiwa among the best ya waliohitimu darasa la saba kwenye mkoa wetu. Halafu nikakutana na hao waliotoka EMS. Aiseeee ilikuwa balaaa. Hao waliosoma EMS walitusumbua sana. Wakati sisi tukikariri wao walikuwa wanafanya kazi ya kubishana na mwalimu anapokesea. Hata kichwani walikuwa vizuri sana. Hawakuwa na msuli tembo muda mwingi wanalala na kusosholaizi. Walikuwa wanafurahia maisha ya shule.

Ni kweli waliotoka Kayumba wanafaulu mitihani ya A-level na O-level ila sehemu kubwa performance inatokana na kukariri sana si kuelewa ukilingsnisha na waliotoka EMS. Waliotoka Kayumba wanafaulu kwa msuli tembo.

Kila jambo lina faida zake na hasara zake. Ni wajibu wa mzazi kujipima. Kwa mfano mimi nimesoma boarding schools kuanzia form one hadi form six then chuo. Nimejionea madhara makubwa ya boarding schools na nikaapa wanangu hawatasoma boarding schools. Na hilo ndio nalitelekeza kwa sasa ila siwezi waamulia wengine.

Tukiachana na tabia zingine zinazoweza kutokezwa na boarding schools ukitaka mtoto asiwe ndugu yako basi mpeleke boarding schools. Waliosoma boarding schools ndio wanaongoza kwa kutorudi nyumbani au kutotembelea wazazi wanapokuwa wanajitegemea kimaisha.

Lakini tubaki kuwa kila jambo lina faida na hasara zake kila mtu aziweke kwenye mizani afanye maamuzi
 
Hao watakuwa wamedharau amri halali, maana tangazo linahusu shule zoote za umma na binafsi.

Watastahili kuwajibika kwa maelezo
Jaribu kushirikisha ubongo wako basi ndugu. Suala hapa ni barabara nyingi za kuingia mjini kufungwa ambao itaathiri accessibility ya shule hasa zilizoko katikati ya jiji.

Kama IST location yake inaruhusu wanafunzi na waalimu kufika shuleni ni kwa nini wasiendelee na masomo wakati wazazi wamelipa ada? Kama kuna shule EMs au private ipo Bonyokwa au Mabwepande utasema watoto wasiende shule kwa sababu zipi wakati huo mkutano hautaathiri barabara za Bonyokwa, Kisemvule, Kisukuru, Changanyikeni, Kimanzichana n.k.

Au Kwa vile Kayumba wanasoma bure ndio muwaambie wakae nyumbani? Waacheni wazazi ambapo wamelipa ada kubwa kwenye private kama IST na EMs waende shule wasome nyie bakini na mikutano yenu!

Msiturudishe kwenye zile zama za giza kwamba public holiday ikiangukia Jumapili au Jumamosi basi Jumatatu na Jumanne ifidiwe mapumziko
 
ACHA KUPOTOSHA. Staff na Wanafunzi wa IST wameambiwa watumie njia za kimtandao (badala ya kwenda physically shuleni kwa siku hizi mbili
 
Hizi mada humu siku hizi zipo nyingi nilikuwa sijaelewa shida Nini

Ila wewe Kwa jinsi ulivyouweka huu Uzi wako Kuna kitu hapa nimegundua

Nyinyi mnaoleta hizi nyuzi hamuna hela za kuwasomesha watoto wenu EM na kuwaonea donge wale wazazi ambao wanawasomesha watoto wao English medium

Tafuteni hela sio kulialia humu Kila siku na kupanga bageti Kwa pesa ambazo sio zenu

Mimi nimesoma kayumba chekechea Hadi chuo kikuu magumu niliyopitia nayajua sitaki na watoto wangu wapitie yale niliyopitia Mimi shida ipo wapi

Alafu English medium siku hizi mbona sio ishu zipo nyingi sana tena zipo karibu na makazi yetu mtoto anaenda tu mwenyewe
 
Hizi mada humu siku hizi zipo nyingi nilikuwa sijaelewa shida Nini

Ila wewe Kwa jinsi ulivyouweka huu Uzi wako Kuna kitu hapa nimegundua

Nyinyi mnaoleta hizi nyuzi hamuna hela za
Hamuna = HamnaπŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
2. Idadi ya wanafunzi. Huyu wa darasa la tatu wako 12 tu darasani na huyu wa kindergarten wako 10. Ni rahisi kwa mwalimu kufuatilia maendeleo ya mtoto kwa uchache huu.
Wewe ni baba mkatili kupita maelezo. You are abusing your children. Unawachukia watoto wako kiasi hicho? Wamekukosea Nini mkuu?

Yani unawapeleka kwenye shule ambayo darasa moja Wapo 12? Are you seriously? Tell me you are joking please.

Aliekwambia watoto hawapendi kuwa wengi nani? You think ur children are u? Yani Kwa kuwa wewe hupendi watoto wawe wengi darasani Basi unadhani na watoto wako nao ndio wanapenda hivyo hivyo?

Anyways inaonekana you have got a very little understanding about children pyschology.

For Your Information, watoto huwa Wana enjoy mara mia Zaidi wanapokuwa katika mkusanyiko wenye watoto wenzao wengi. Ns hii ni Kwa sababu watoto wanapenda michezo . Na wanapokuwa wengi ndio watoto wana enjoy zaidi .

Don't abuse your children. Watoto hawaendi shule ya msingi kusoma wanaenda kukua na kujifunza through observation.

Children should live their childhood to the fullest. Don't Rob your children from their childhood.

3. Usalama wa watoto. Japo suala la usalama wa watoto ni la Mungu (kwa wanaoamini), but kama wazazi we have our part to play. At least gari ya njano inayowabeba kuwapeleka na kuwarudisha shule huwa ina mwalimu wa kike.

Gari inaweza kupata ajali if we go down to that level. Mfano mzuri ni ile shule ya Arusha.

So hapa hauna hoja.

Watoto wa Kayumba wanakwenda shule Kwa miguu wanarudi kwa miguu. Kwenda dakika 20 Hadi nusu saa kurudi dakika 20 Hadi nusu saa. Faida za kiafya za kutembea Kwa miguu zinajulikana
Plus, wanamchukulia getini, tunampokelea getini
Huoni kwamba unalemaza akili ya mtoto wako? Kwanini usimuache aende mwenyewe arudi mwenyewe

Mpishi wa chakula cha shule anayo soma mwanao CV Yake unaijua? Is S/he a chef? Is S/he a professional cooker?

For Your Information. Kwenye shule za EMs
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Kila siku wanakula kuku broiler. At the end of the day: kansa, moyo, pressure etc.

Chumvi wanatumia chumvi ya viwandani inayouzwa dukani ambayo ni deadly chemical .

Mafuta wanatumia mafuta ya Pamba.

Chakula kinawekwa kwenye Chombo cha plastic.

Chai wanakunywa kwenye vikombe vya plastic.( Plastic + hot liquid= 500 types of cancers)

False confidence hiyo mkuu.. The real confidence must be attributed to the things that matters. Hana confidence ya kutoka nyumbani kwenda shuleni Kwa miguu ila ana confidence ya kuongea mbele ya mzazi? Duh 🀣🀣🀣

As a matter of fact watoto wa Kayumba ndio wana confidence. Kuanzia maneno Hadi matendo.
To we parents, that's a huge bonus.
CHANGAMOTO HAZIKOSEKANI. Kubwa kabisa ni ile inayowanyima fursa ya kujifunza maisha halisi ya mtaani (kujichanganya na kujitegemea).

Asante Kwa kuwa honest katika hili πŸ‘†πŸ‘†
 
2. Idadi ya wanafunzi. Huyu wa darasa la tatu wako 12 tu darasani na huyu wa kindergarten wako 10. Ni rahisi kwa mwalimu kufuatilia maendeleo ya mtoto kwa uchache huu.
Wewe ni baba mkatili kupita maelezo. You are abusing your children. Unawachukia watoto wako kiasi hicho? Yani unawapeleka kwenye shule ambayo darasa moja Wapo 12? Are you okay?

Aliekwambia watoto hawapendi kuwa wengi nani? You think ur children are u? Yani Kwa kuwa wewe hupendi watoto wawe wengi darasani Basi unadhani na watoto wako nao ndio wanapenda hivyo hivyo?

Anyways inaonekana you have got a very little understanding about children pyschology.

For Your Information, watoto huwa Wana enjoy mara mia Zaidi wanapokuwa katika mkusanyiko wenye watoto wenzao wengi. Ns hii ni Kwa sababu watoto wanapenda michezo . Na wanapokuwa wengi ndio watoto wana enjoy zaidi .

Don't abuse your children. Watoto hawaendi shule ya msingi kusoma wanaenda kukua na kujifunza through observation.

Children should live their childhood to the fullest. Don't Rob your children from their childhood.

3. Usalama wa watoto. Japo suala la usalama wa watoto ni la Mungu (kwa wanaoamini), but kama wazazi we have our part to play. At least gari ya njano inayowabeba kuwapeleka na kuwarudisha shule huwa ina mwalimu wa kike.

Gari inaweza kupata ajali if we go down to that level. Mfano mzuri ni ile shule ya Arusha.

So hapa hauna hoja.

Watoto wa Kayumba wanakwenda shule Kwa miguu wanarudi kwa miguu. Kwenda dakika 20 Hadi nusu saa kurudi dakika 20 Hadi nusu saa. Faida za kiafya za kutembea Kwa miguu zinajulikana
Plus, wanamchukulia getini, tunampokelea getini
Huoni kwamba unalemaza akili ya mtoto wako? Kwanini usimuache aende mwenyewe arudi mwenyewe

Mpishi wa chakula cha shule anayo soma mwanao CV Yake unaijua? Is S/he a chef? Is S/he a professional cooker?

For Your Information. Kwenye shule za EMs
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Kila siku wanakula kuku broiler. At the end of the day: kansa, moyo, pressure etc.

Chumvi wanatumia chumvi ya viwandani inayouzwa dukani ambayo ni deadly chemical .

Mafuta wanatumia mafuta ya Pamba.

Chakula kinawekwa kwenye Chombo cha plastic.

Chai wanakunywa kwenye vikombe vya plastic.( Plastic + hot liquid= 500 types of cancers)

False confidence hiyo mkuu.. The real confidence must be attributed to the things that matters. Hana confidence ya kutoka nyumbani kwenda shuleni Kwa miguu ila ana confidence ya kuongea mbele ya mzazi? Duh πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‰

As a matter of fact watoto wa Kayumba ndio wana confidence. Kuanzia maneno Hadi matendo.
To we parents, that's a huge bonus.
CHANGAMOTO HAZIKOSEKANI. Kubwa kabisa ni ile inayowanyima fursa ya kujifunza maisha halisi ya mtaani (kujichanganya na kujitegemea).

Asante Kwa kuwa honest katika hili πŸ‘†πŸ‘†

J
 
Uzuri, I know that what I'm doing is good for my kids. Nilijaribu kukuonyesha the positives of EM, but you seem a die hard fan of your own theories. Anyway, the beautiful thing about our world is our diversity. Tukubaliane tu kuwa sumu kwako inaweza kuwa dawa kwa mwingine.
 
Likud shule ya msingi na Likud hospital zinakusumbua sana mazee tutafute tu pesa tuache maneno mengi tu hakuna kitu usie na kitu ukamuelekeza mwenye pesa yake akusikilize ni kupiga kelele tu.
Watu aina ya LIKUD ,usipokuwa makini wanaweza kukuingiza chaka. Unaweza kukuta hicho anachoponda ndiyo hicho hicho anakifuata au anakifanyia kazi/anakitumikia
 
hao ni wanafunzi wa nchi gani hawajaenda shule leo? Mbona wanafunzi huku Tanzania wameenda shule km kawaida.
 
Wewe ndio unatumia nguvu kubwa kunielewa ndio maana huelewi.

Nafanya campaign ' Making Kayumba Schools Great Again"

MAKAGA Campaign
Sasa ungekubali tu kwamba wewe ndio unazifanya shule za kayumba zionekane bora lakini kiuhalisia si kwamba ni bora, na huwezi kuzifanya ziwe bora kwa maandishi tu inawezekana zikaja kuwa bora huko miaka ya mbele but till then, shule za private ziendelee kupewa maua yake
Mada Sio mtoa Mada . Mada ni Ems vs Kayumba vs International Schools.

Unanizungumzia mimi tena badala ya kuzungumzia mada.

Slow people every where
Ndio lazima tukuzungumzie wewe, kwa sababu ni wewe ndio unazifanya shule za kayumba zionekane bora, na siyo kwamba kiuhalisia hizo shule ni bora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…