Niko na vijana 2, mmoja anaturn 7 years this February na yuko STD 3, na mdogo wake ana miaka 4, yuko kindergarten. Wanasoma EMS. Sababu zangu za kuwapeleka EM
1. Mazingira ya shule. Kabla ya kuwapeleka shule tuliitembelea kujiridhisha na mazingira. Wana mazingira safi.
2. Idadi ya wanafunzi. Huyu wa darasa la tatu wako 12 tu darasani na huyu wa kindergarten wako 10. Ni rahisi kwa mwalimu kufuatilia maendeleo ya mtoto kwa uchache huu.
Wewe ni baba mkatili kupita maelezo. You are abusing your children. Unawachukia watoto wako kiasi hicho? Wamekukosea Nini mkuu?
Yani unawapeleka kwenye shule ambayo darasa moja Wapo 12? Are you seriously? Tell me you are joking please.
Aliekwambia watoto hawapendi kuwa wengi nani? You think ur children are u? Yani Kwa kuwa wewe hupendi watoto wawe wengi darasani Basi unadhani na watoto wako nao ndio wanapenda hivyo hivyo?
Anyways inaonekana you have got a very little understanding about children pyschology.
For Your Information, watoto huwa Wana enjoy mara mia Zaidi wanapokuwa katika mkusanyiko wenye watoto wenzao wengi. Ns hii ni Kwa sababu watoto wanapenda michezo . Na wanapokuwa wengi ndio watoto wana enjoy zaidi .
Don't abuse your children. Watoto hawaendi shule ya msingi kusoma wanaenda kukua na kujifunza through observation.
Children should live their childhood to the fullest. Don't Rob your children from their childhood.
3. Usalama wa watoto. Japo suala la usalama wa watoto ni la Mungu (kwa wanaoamini), but kama wazazi we have our part to play. At least gari ya njano inayowabeba kuwapeleka na kuwarudisha shule huwa ina mwalimu wa kike.
Gari inaweza kupata ajali if we go down to that level. Mfano mzuri ni ile shule ya Arusha.
So hapa hauna hoja.
Watoto wa Kayumba wanakwenda shule Kwa miguu wanarudi kwa miguu. Kwenda dakika 20 Hadi nusu saa kurudi dakika 20 Hadi nusu saa. Faida za kiafya za kutembea Kwa miguu zinajulikana
Plus, wanamchukulia getini, tunampokelea getini
Huoni kwamba unalemaza akili ya mtoto wako? Kwanini usimuache aende mwenyewe arudi mwenyewe
.
4. Chakula. Ni kweli, tunalipa pesa nyingi kidogo kuliko Kayumba, lakini vijana wanakula shule. Kabla ya kutoka home huwa wamepata chochote, then ratiba za shule zinaendelea. Wanaweza wasiifuate ratiba ya diet waliotuonyesha to the dot but the kids have never complained. And we have probed them.
Mpishi wa chakula cha shule anayo soma mwanao CV Yake unaijua? Is S/he a chef? Is S/he a professional cooker?
For Your Information. Kwenye shule za EMs
👇👇👇
Kila siku wanakula kuku broiler. At the end of the day: kansa, moyo, pressure etc.
Chumvi wanatumia chumvi ya viwandani inayouzwa dukani ambayo ni deadly chemical .
Mafuta wanatumia mafuta ya Pamba.
Chakula kinawekwa kwenye Chombo cha plastic.
Chai wanakunywa kwenye vikombe vya plastic.( Plastic + hot liquid= 500 types of cancers)
5. Confidence. Hii inaweza isiwe na uhusiano wa moja kwa moja na kusoma EM, lakini, naona watoto wako more confident na mambo yao kuliko mimi nilivyokuwa na umri mkubwa kuliko wao. Huyu wa darasa la 3 ana confidence hata ya kuongea broken English hivyo hivyo, kitu kilichosababisha mpaka leo nakwepa sana fursa za mijadala inayohusisha lugha ya malkia.
False confidence hiyo mkuu.. The real confidence must be attributed to the things that matters. Hana confidence ya kutoka nyumbani kwenda shuleni Kwa miguu ila ana confidence ya kuongea mbele ya mzazi? Duh 🤣🤣🤣
As a matter of fact watoto wa Kayumba ndio wana confidence. Kuanzia maneno Hadi matendo.
To we parents, that's a huge bonus.
CHANGAMOTO HAZIKOSEKANI. Kubwa kabisa ni ile inayowanyima fursa ya kujifunza maisha halisi ya mtaani (kujichanganya na kujitegemea).
Asante Kwa kuwa honest katika hili 👆👆