Internet is cheaper in Kenya than Tanzania averagely

Hapa natumia Zuku unlimited ya nyumbani, bila kikomo yenye kasi ya 5mbps, kwa gharama ya 1,500Kshs kwa mwezi hiyo kwa pesa madafu ni 30,000Tshs
Kila mtu kwa nyumba ameunga simu yake, watu wanatazama movies ambazo nimeunga kwenye kifurushi cha Showmax cha kila baada ya miezi mitatu, binafsi naitumia internet sana maana kazi zangu zinahitaji niwe nimeunga kwenye very fast and dedicated internet.
Bongo niimeishi, sijawahi wala hata siku moja kupata offer kama hii.
 
Fiber imeenda hadi kwenye minara ya simu then wananchi wanapata majumbani kupitia wireless devices i.e. Mi-fi, USB dongles, wireless routers, etc

No need to take fiber to peoples homes. That is unnecessary
7,000 km of fibre... [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwani inafuata barabara.

Kupeleka fibre kwa nyumba za watu, unahitaji hundreds of thousands to millions of km of cable.
 
Fiber imeenda hadi kwenye minara ya simu then wananchi wanapata majumbani kupitia wireless devices i.e. Mi-fi, USB dongles, wireless routers, etc

No need to take fiber to peoples homes. That is unnecessary

Jesus Christ. 😂 😂 😂 😂 😂 😂😂😂😂😂😂😂😂
Even for an LDC I didn't expect this.

Fibre inapitia chini ya ardhi. Cable inaletwa mpaka kwako nyumbani. Nyumba lazima ifanywe wiring kama stima.
Ikifika chumbani kwako inapata router. Hii router nayo ndio inakupa WiFi yako binafsi, ama unaunganisha na ethernet cable.

This is the only way you will get unlimited internet with speeds over 100Mbps without fail. Without congestion.
Fixed price ambayo haupimiwi bundle.

In the West, virtually all houses are connected to fibre.
 
Kina mwasiti na wenzake watashangilia nini tena

 
Mkuu...zuku unlimited naitambua sana...duh!!yani achana nayo kabisa...cz wanako wakikutembelea unawadungia tu...mambo yanaenda shwari hku mkipiga vitu vyenu kw ksh1,500 per month...sijui bongo pia km kuna hvyo vitu kw bei hyo
 
Huyu mjinga hili ndilo tu anajua.

Mbona usiweke map ya Tanzania kuonyesha pande zile nyingi za mauaji ya albinos?
Hizo zilipendwa miaka sita imepita hatulijui tena suala la kufa kwa albino ila hyo ya njaa ni juzi tu report imetoka.
Una ingine ya kuuliza!???
 
Sasa wewe utajilinganisha na mtu ambae anatumia zuku unlimited ya 5mbps halafu analipia ksh1,500 kw mwezi...

Kweli nyinyi akili zenu zimeganda..
Hamna kubana kitu...kila siku zuku una stream chochote kile mpka uchoke...ukitaka kesha haswa...
Wenyewe wanakwambia facts hata kama ni za uzushi ili mradi tu ziwe zimeandikwa kwa kiingereza


Natumia TTCL tsh 500 kwa GB2
 
Sasa wewe utajilinganisha na mtu ambae anatumia zuku unlimited ya 5mbps halafu analipia ksh1,500 kw mwezi...
Kweli nyinyi akili zenu zimeganda..
Hamna kubana kitu...kila siku zuku una stream chochote kile mpka uchoke...ukitaka kesha haswa...
Kuna stream inaweza kugomea 4G..???mbona unashindwa kutumia akili dogo?
 

mkuu iyo ttcl ni ni matiti sana internet yao iko slow ka kasi ya maendeleo taifa iko slow kama uchumi tanzania hazivutiii watu alafu wanazima baada ya muda unangoje mpaka uchoke afadhali niyoe 2000 tigo ni download fasta kwishine sio habari za una pewa 4gb ambazo fail ya 200mb unadownload 4 hour voda wakoghali lakini iyo speed weeeeeee ni nomaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…