Internet is cheaper in Kenya than Tanzania averagely

Sijui kuhusu hizo statistics, Nimekwenda Kenya na kwa bahati mbaya sikua na line ya kuniwezesha kuwasiliana kwa makampuni yao, Hivyo nilipokua na wenyeji wangu mostly nilikua nawaomba waniwashie Hotspot na mara nyingi walikua wakilialia kuwa mb zinauzwa bei ghali. Sasa sijui niamini kipi hapa?
 
sauti sol walivyo kuja bongo pale wasafi fm block89 waliulizwa kwanin kenya awatumii saaana mitandao walisema kenya bundle ni bei ndomana wakenya wengi awatumii social network 😬
 
We wacha ujinga...internet kenya ni rahisi...
sauti sol walivyo kuja bongo pale wasafi fm block89 waliulizwa kwanin kenya awatumii saaana mitandao walisema kenya bundle ni bei ndomana wakenya wengi awatumii social network [emoji51]
 

Wireless has never been cheaper than fibre.
Unless wewe internet yako ni Whatsapp na JF pekee.

In today's streaming world, Youtube, Netflix etc.. Hauwezi tumia chini ya 100 GB per month.

The fact that unasema kwamba organizations ndio hutumia fibre sana, inaonyesha kwamba nyinyi ni LDC.
In developed countries, almost every home is connected to fibre. Hapa Kenya Safaricom na Zuku wameunganisha hundreds of thousands of homes in Nairobi.
 
sauti sol walivyo kuja bongo pale wasafi fm block89 waliulizwa kwanin kenya awatumii saaana mitandao walisema kenya bundle ni bei ndomana wakenya wengi awatumii social network [emoji51]
Ebu confirm na hapa kwanza Tz 38% vs Ke 89%
 
fiber is more cheap and its unlimited so how do you guys stream movies?

I'm also wondering. Don't these guys do Netflix? YouTube? Don't they have smart TVs?
It is impossible to stream on Netflix everyday using bundles without breaking the bank.
One hour of Netflix uses like 3GB. Multiply that by several hours per day and only unlimited fibre makes sense.
 
It seems this guys still use the old school Tvs ,the once with a "Kisogo"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…