Public Enemy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2011
- 3,029
- 3,520
Sijui kuhusu hizo statistics, Nimekwenda Kenya na kwa bahati mbaya sikua na line ya kuniwezesha kuwasiliana kwa makampuni yao, Hivyo nilipokua na wenyeji wangu mostly nilikua nawaomba waniwashie Hotspot na mara nyingi walikua wakilialia kuwa mb zinauzwa bei ghali. Sasa sijui niamini kipi hapa?