Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inategemea na eneo mkuuNimejaribu tigo ni nzito zaidi ya zege
Airtel speed ya konokono
Voda ni haifungui kabisa
Halotel ndio nimetumia kukoment hapa..
Halotel kashajichukulia credit kwa hili
😹😹🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣imerudi saa hivi voda, Haya yote amesababisha Mathanzua kwa kuleta solar frare bongo
Umesema hivi mpaka nimeogopa. For real hii kitu ikae sawa na isije ikajirudia mbeleni, imenipotezea shughuli kubwa sana leo.Kuna kitu nimefikiria kwa hili tukio la leo la internet kuwa chini, sisi tulio ulimwengu wa mitandao tumeona isiyokuwa kawaida, siku imekuwa ngumu na wengi wamepata gharama na hasara kwa kiasi chake!
Siku hao wa miliki wa internet na mamlaka zikiamua kuzima kabisa mtandao wa internet taharuki itakuwa kubwa mno kiasi cha kuona maisha yamefika mwisho!
Wakati huo huo kuna watu hawajui kama kuna chochote kilichotokea ama kinachoendelea, wasio kuwa na simu za data na wasio kuwa na simu kabisa kwao hakuna kilicho badilika leo!
Maisha yanatafakarisha sana.
Theory yangu mkuu,Mtandao usharudi karibu Kila mtandao una access, ila Leo ndo nimegundua Kuna umafia katika biashara, kuanzia Whatsapp Leo ilikua haifanyi kazi, jamii forum hola,Google search hakuna, Facebook na insta hakuna kabisa ila YouTube mi nimetumia kuanzia asubuhi Iko poa kabisa, nikawa sielewi
Internet haiwezi kuzimwa its just sisi kwetu tumeegemea sehemu moja, I think mitandao yote inatumia mkonga.Kuna kitu nimefikiria kwa hili tukio la leo la internet kuwa chini, sisi tulio ulimwengu wa mitandao tumeona isiyokuwa kawaida, siku imekuwa ngumu na wengi wamepata gharama na hasara kwa kiasi chake!
Siku hao wa miliki wa internet na mamlaka zikiamua kuzima kabisa mtandao wa internet taharuki itakuwa kubwa mno kiasi cha kuona maisha yamefika mwisho!
Wakati huo huo kuna watu hawajui kama kuna chochote kilichotokea ama kinachoendelea, wasio kuwa na simu za data na wasio kuwa na simu kabisa kwao hakuna kilicho badilika leo!
Maisha yanatafakarisha sana.
Tupe mifano mkuusite ambayo ina server South ama Kenya ama nchi ambayo ni ya Africa unaweza ukai access bila shida
Hapana sio kweli, Facebook insta mitandao kama redcafe ya UK ilikua huwezi ku access, hata Hio youtube ni spidi ndogo sana ya kobe
Kama youtube mkuu, kuprove hii theory natafuta vpn nzuri ya ndani ya Africa tuone.Tupe mifano mkuu
Siwezi kubisha mi natumia vodaView attachment 2988930
Full HD ina play youtube bila shida kwa Tigo na Zuku nimetesti mwenyewe.
Youtube ni kweli inanishangaza nadownload video kwa kasi nzuri MB 3 kwa sekunde, ila mitandao mingine download speed KB 10 kwa sekunde...Kama youtube mkuu, kuprove hii theory natafuta vpn nzuri ya ndani ya Africa tuone.
Nadhani hili ndio linaloleta changamoto, labda inaweza kuna vizuizi kutoka kwenye mamlaka.Internet haiwezi kuzimwa its just sisi kwetu tumeegemea sehemu moja, I think mitandao yote inatumia mkonga.
Tukio kama hili liliwahi tokea around 2011/12 meli iligonga submarine cable na Internet kukata siku kadhaa, Mitandao ikahamia satelite, access ikawepo ila kwa speed ndogo around 80KBps (640kbps) ila ipo,
Leo ni kama vile mitandao imejisahau hakuna backup kabisa ya internet zao.
Tofauti na Bahari kuna Fiber ya ndani ya Africa ambayo ina Konect na bahari nyengine za mbali kama Mediterranean na Atlantic na zipo pia kampuni mbalimbali za Satelite internet, zote hizi hazijaathirika.
Inaweza isizimwe ila ikatokea ajali kama ulivyo sema inagharimu siku kadhaa bila internet.Internet haiwezi kuzimwa