ronnycharlz
New Member
- May 6, 2020
- 4
- 0
Kwa mtu mwenye matumizi makubwa ya data - tuseme 100GB kwa mwezi - Ni huduma gani ya internet nzuri? sio lazima iwe mtandao wa simu, matumizi ni kwenye PC. Ni kwa ajili ya matumizi binafsi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivipi na wakati anatafuta ushauri kujua kampuni anayotaka kujiunga nayo kwa ajili ya kupata internet kwa bei nzuri?
Nadhani hawa ni the best kwa sasa gharama zao ni nzuri sana
TTCL 225K kwa mwezi GB 200, nadhani TTCL ndo the best, hiyo 100GB ni 150K.kuna jamaa humu humj anatumia smile,250k kwa mwezi GB 170 na ofaa maalumu za usiku.
Hawawezi kuwa the best wakati wao wenyewe wananunua toka TTCL, gharama za chini zaidi ziko TTCL maana hizo 100GB ni 150,000/= kwa mwezi, 200GB ni 225,000/= kwa mwezi.Nadhani hawa ni the best kwa sasa gharama zao ni nzuri sana