Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,500
Imefika Mkuu, Nigeria washaanza kutumiaHaijafika Africa
Sent from my Mi 9T using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imefika Mkuu, Nigeria washaanza kutumiaHaijafika Africa
Requirements?
Ni hela yako tu, tembelea Duka la Tigo lililopo karibu nawe ukahudumiweRequirements?
Speed yake ipoje kaka based on your experience?Ni ela yako tu,tembelea Duka la Tigo lililopo karibu nawe ukahudumiwe
Sent from my Mi 9T using JamiiForums mobile app
Zinakuwa unlimited?
Yule jamaa anatakiwa aimiliki Tanzania. Maana hela anayo tumpe nchi tu.Hivi star Link ya Elon Musk haijafika TZ.
Sasa umeshaambiwa ni GB 65 unauliza inakuwa limited?! Limit si tayari ipo kwenye kiwango cha data unayotakiwa kutumia wamekulimit isizidi 65 GB.Zinakua unlimited?
Mkuu me mwenyewe nimejiunga ili nitest (sikuwa naijua hii huduma kabla ya Uzi huu) nione kama watabania speed pale GB zinapokaribia kwisha that's why nimechukua hiko cha 50k Kwanza. Nitaleta mrejesho.Speed yake ipoje kaka based on your experience?
ShukranMkuu me mwenyewe nimejiunga ili nitest (sikua naijua hii huduma kabla ya Uzi huu) nione kama watabania speed pale GB zinapokaribia kwisha that's why nimechukua hiko cha 50k Kwanza. Nitaleta mrejesho.
Sent from my Mi 9T using JamiiForums mobile app
Hii inatamanisha
Ulieleta Uzi huu ubarikiwe Sana,hatimae Leo nimejiunga na postpaid package ya 50k ili niitest,ikiwa fresh na hawapunguzi speed ntahamia package ya 75k
Sent from my Mi 9T using JamiiForums mobile app
Mkuu Mimi nazungumzia post paid na sio hivi vifurushi vya kawaida (pre paid)Jamaa. Mi mbona napata 45GB kwa 60k Tigo.
Au ndio nimekuwa kibonde wao wananipiga tu.
Starlink ipo Afrika tayari, issue ni kwamba watu wanai hype tu ila kiuhalisia ni watu wachache sana wanaweza kui afford. Unaweza lipa installation ya milioni na laki karibia 3 kila mwezi? Na hio ni basic, ile premium ambayo speed ipo stable ni $500 karibia 1.2m kwa mwezi. Kwa sasa official ipo Nigeria na Msumbiji. Starlink ni ya watu wa vijijini wenye hela.Haijafika Africa
We jamaa unapigwa ona hapa unga cha gb30 kwa 25k au 50000 kwa gb65Jamaa. Mi mbona napata 45GB kwa 60k Tigo.
Au ndio nimekuwa kibonde wao wananipiga tu.
Mkuu naomba ufafanuzi nimeenda kweny vodadesck hapa Jirani mtaani kwangu sa sio vodashop kamili ni hawa wa mtaani amesema kuwa hiko cha 20k na 10k gb zikiisha net inakata ila cha 50k ndo hakikati hata gb zikiisha unapunguziwa speed tu ila net unaendelea kupata kama kawa sasa nawe umesema hata cha 10k na 20k unapata net hata zikiisha gb nachanganyikiwa hii ikoje hasa mkuu pia nitaomba namba ya mtu wa vodashop anaeweza kuunga hii kituTigo hawana unlimited ukitaka unlimited labda waje wakufungie ki dish flan hv ila ni gharama sana na mara nying hua naona vipo kwenye taasisi mfano hospitali wanalipa 900,000/= na unlimited kwel nikaona na zantel wanalipa 600,000/= ni unlimited kwel
Unlimited ipo vodacom kuna kitu wanaitwa super kasi zipo super kas za aina mbil
1. kuna super kas yakufungiwa kifaa maaluum then kuna router fresh kwenye kulipa hawatak janja janja usipo lipa unalimbikiza deni na watataka ulipe Gharama ni 115k unapata 2.5MB/s ambayo ni sawa na 20Mbps na 165k
ambayo ni 4MB/s sawa na 30Mbps
2. Aina ya Pili ya super kasi wanakuunganisha na lain yako moja kwa moja hii njia itakuhitaj kusajil lain mpya ya vodacom au kama una lain ya vodacom kuanzia mwaka huu itakubal ukibonya menu yao ya voda ile menu ya kawaida namba 6 ukakuta imeandikwa kasi wenye lain za vodacom za zaman hiyo menu hawana hapo walipo andika kasi ndo unatakiwa ujiunge naipenda hii huduma kwanza unatembea na sim mda wote lain yako unayo unahama kama unavotaka sasa kule ukijiunga kifurush mfano 50k unapata 28GB hzio GB zikiisha unapunguziwa speed had 300kb/s ila utatumia mwez mzima free kwa speed hiyo ndogo kina nisave sana hua najiunga 10k napata 3GB zikiisha bado nakua na internet ilayene kimited speed ya 200kb/s had 300kb/s hapo nachat vzr whatsapp insta naangalia na movie netflix vzr kabisa hapo chaguo ni lakoView attachment 2335889
View attachment 2335891
Wanasema 10k ikiisha bado unapata.Mkuu naomba ufafanuzi nmeenda kweny vodadesck hapa Jirani mtaan kwangu sa sio vodashop kamili ni hawa wa mtaani amesema kuwa hiko cha 20k na 10k gb zikiisha net inakata ila cha 50k ndo hakikati hata gn zikiisha unaounguziwa speed tu ila net unaendelea kupata sasa nawe umesema hata cha 10k na 20k unapata net hata zikiisha gb nachanganyikiwa hii ikoje hasa mkuu pia nitaomba namba ya mtu wa vodashop anaeweza kuunga hii kitu
Nenda Dukani kwao wanarudisha menu ya kawaida. Mimi walitaka kunibadilishia menu nikawaambia waniache na menu kawaida.Tigo pymbavu sana nilijitoa post paid matokeo yake wananinyima menu ya vifurushi vya kuanzia 500 wananiletea vya kuanzia 30,000 nilivunja line