Internet za post paid ni bei chee lakini hakikisha ukiacha kuitumia unatuma barua ya kusitisha lasivyo utadaiwa pesa kwa miezi ambayo hukulipia

Inasemekana wanaojiunga kuanzia leo bando za Postpaid tigo wamezipunguza....

Yalikuwa madai ya mtoa huduma Monday wakati najiunga.

Leo mapema tu wameshanitumbukizia 65GB zangu naendelea kula maisha.

Nilienda leo nikapewa ufafanuzi. Wameniambia kuwa vifurushi unapewa kutokana na mkataba ulioingia hivyo hakibadiliki hadi usitishe mkataba.

Waliojiunga kipindi cha nyuma wakapata GB 60 wataendelea kupata hizo hizo, nyinyi mliojiunga miezi michache nyuma mtaendelea kupata hizo hizo kama wewe unaepata GB 45, halafu kuna hawa wa sasa hivi wao watapata kama ifuatavyo akanionyesha kwenye computer nikachoka, 60,000/- GB 30
 
Karibu upate supakasi chap tu ndan ya wiki tayari kwann usumbuke boss

Kaka hii huduma ya supakasi naitaka hata kesho. Sema contract tu ndio changamoto.
Kuna muda natamani niiipate hii ya 115k kwanza then baada ya miezi kadhaa contract ihamie kwenye laini ya supakasi ile 50k.
 
Hii ya 115k inakua fixed so movable kma Ile ya line Kwa 50k so far Iko vzr Io ya 115k lkn soon mambo yanakuja ya moto koz Voda ashaanza funga 5G baadhi ya areas so atalaunch. FWA means for internet ambayo ni mbdala wa fiber Kwa inchi zlizoendelea
 
VODACOM INTERNET (5G) SUPAKASI

PRICE PER MONTH

[emoji117]30Mbps-[120,000]-Unilimited bundle speed ya 5G
[emoji117]50mbps>[150,000]Unilimited bundle speed ya 5G
[emoji117]100Mbps>[250,000]unlimited bundle speed ya 5G
[emoji117]200Mbps>[400,000]Unlimited bundle speed ya 5G
[emoji117]350Mbps[600,000]Unlimited bundle speed ya 5G

For more information kindly check me DM or call 0744355811

It's 5G FWA (fixed wireless access) sahau LTE TDD ( antenna
 
Sisi tuliofunga Supakasi LTE tunabadilishiwa au
 
Hali ilivyo Sasa inalazimu kujiunga na hii huduma
 
VODACOM INTERNET (5G) SUPAKASI

PRICE PER MONTH

[emoji117]30Mbps-[120,000]-Unilimited bundle speed ya 5G
[emoji117]50mbps>[150,000]Unilimited bundle speed ya 5G
[emoji117]100Mbps>[250,000]unlimited bundle speed ya 5G
[emoji117]200Mbps>[400,000]Unlimited bundle speed ya 5G
[emoji117]350Mbps[600,000]Unlimited bundle speed ya 5G

For more information kindly check me DM or call 0744355811

It's 5G FWA (fixed wireless access) sahau LTE TDD ( antenna
 
Mkuu hivi bado kipo kwa 10k gb 3 super kasi per month then wanaminya speed mpaka kutimia mwezi
 
Chukua tv aina ya Sharp hutojutia
 
65 si hata mdada anaeshinda TikTok na Instagram anazikata fasta tu
Kuna VPN tulikuwa tunatumia around 2017 hadi 2018.

Per month nilikuwa nagonga 300GB, Hapo kuna wahuni walikuwa wanafikisha terabyte.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…