Internship bila malipo kwa wakazi wa Arusha wilaya meru

Brightg

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
372
Reaction score
662
Wana jamvi, aliye somea COMMUNITY DEVELOPMENT (Maendeleo ya Jamii), HUMAN RESOURCES MANAGEMENT, mnakaribishwa kuomba Internship kwa wale mnaotaka kujifunza kazi hapa ndio pahala penu. Internship haina incentives au malipo yoyote ni kazi ya kujitolea kwa wanaotaka kujifunza kazi.

tumeni c.v zenu kwenda, aidfortradelogistics@gmail.com.
 
Tumefikia huku? Yaani mtu aombe kazi ya bure? Inabidi awe anaishi jirani na, ofisi, je, chakula? Sabuni? Huyo mtu ataenda kuomba pesa kwa wanajamii
 
Wana jamvi, aliye somea COMMUNITY DEVELOPMENT (Maendeleo ya Jamii), HUMAN RESOURCES MANAGEMENT, mnakaribishwa kuomba Internship kwa wale mnaotaka kujifunza kazi hapa ndio pahala penu. Internship haina incentives au malipo yoyote ni kazi ya kujitolea kwa wanaotaka kujifunza kazi.

tumeni c.v zenu kwenda, aidfortradelogistics@gmail.com.
Hata Kama saivi ajira ngumu msifanye hivo kutaka free labour Si sahihi kabsa, kwann usiwatafute ndugu Zko wakarbu wakajifunze hizo kazi foolish kabsa....
 
Ww ndio foolish maana huelewi maana ya fresh graduate kujifunza kazi kwa vitendo, uwe fresh graduate ulipwe mshahara na huku ufindishwe kazi kwa vitendo umesikia wapi, na performance apraisal yako ikufukuzishe kaz maan hujui. Tulia mshamba kabisa ww
 
Best,

Lakini kwa mazingira ya sasa kumwita mwanafunzi ofisini anakaa for 6 months bila hata stipends yoyote kwa kigezo cha kujifunza ni zaidi ya unfair.

Binafsi kuna mtu alikuja kufanya intern ofisini kwetu wakawa wanamfanyia huu mchezo, nilikereka sana nikajenga hoja yangu kwa management na kiukweli wakanielewa.

Kitu ambacho kilichokuwa kinafanyika kwenye taasisi yetu ni kwamba, akija mtu mwenye ukaribu na mtu ndani ya taasis alikuwa anapewa incentives, If not, hakuna atakaye angaika kukupa.

*And mind you taasis yetu haina mfumo rasmi wa kulipa incentives kwa non staffs, ila ubimadamu ulikuwa unafanyika.
 
Huyo mwanafunzi unampangia w muda wa miez 6 kukaa ofisini kujifunza kazi. Mwanafunzi mwenyewe ataamua ataweza kwa miez mingapi depending with her or his availability, matter of choice halazimishwi mtu ni hiari na ikishakuwa hiari bas maamuzi ya mtu binafsi yasiingiliwe au kumtetea mtu anaye amua mwenyewe.
 
Wana jamvi, aliye somea COMMUNITY DEVELOPMENT (Maendeleo ya Jamii), HUMAN RESOURCES MANAGEMENT, mnakaribishwa kuomba Internship kwa wale mnaotaka kujifunza kazi hapa ndio pahala penu. Internship haina incentives au malipo yoyote ni kazi ya kujitolea kwa wanaotaka kujifunza kazi.

tumeni c.v zenu kwenda, aidfortradelogistics@gmail.com.
Mkuu,hakuna kazi isiyokuwa na malipo,Wala huwezi kutangaza kuwa hakuna malipo.Wewe kama unataka INTERNS unatangaza nafasi,majukumu,location na muda.Then wakati wa INterview the rest will be discussed.
 
Huyo mwanafunzi unampangia w muda wa miez 6 kukaa ofisini kujifunza kazi. Mwanafunzi mwenyewe ataamua ataweza kwa miez mingapi depending with her or his availability, matter of choice halazimishwi mtu ni hiari na ikishakuwa hiari bas maamuzi ya mtu binafsi yasiingiliwe au kumtetea mtu anaye amua mwenyewe.
Mkuu,
Kwa mtu mwenye concern juu ya welfare ya binadamu mwengine, hawezi kujibu simple kama unavyojibu hapa.

Ukitaka kujua wema wa mtu, angalia jinsi anavyo-treat wanyama.
 
Back
Top Bottom