Tumefikia huku? Yaani mtu aombe kazi ya bure? Inabidi awe anaishi jirani na, ofisi, je, chakula? Sabuni? Huyo mtu ataenda kuomba pesa kwa wanajamiiWana jamvi, aliye somea COMMUNITY DEVELOPMENT (Maendeleo ya Jamii), HUMAN RESOURCES MANAGEMENT, mnakaribishwa kuomba Internship kwa wale mnaotaka kujifunza kazi hapa ndio pahala penu. Internship haina incentives au malipo yoyote ni kazi ya kujitolea kwa wanaotaka kujifunza kazi.
tumeni c.v zenu kwenda, aidfortradelogistics@gmail.com.
Hata Kama saivi ajira ngumu msifanye hivo kutaka free labour Si sahihi kabsa, kwann usiwatafute ndugu Zko wakarbu wakajifunze hizo kazi foolish kabsa....Wana jamvi, aliye somea COMMUNITY DEVELOPMENT (Maendeleo ya Jamii), HUMAN RESOURCES MANAGEMENT, mnakaribishwa kuomba Internship kwa wale mnaotaka kujifunza kazi hapa ndio pahala penu. Internship haina incentives au malipo yoyote ni kazi ya kujitolea kwa wanaotaka kujifunza kazi.
tumeni c.v zenu kwenda, aidfortradelogistics@gmail.com.
Ww ndio foolish maana huelewi maana ya fresh graduate kujifunza kazi kwa vitendo, uwe fresh graduate ulipwe mshahara na huku ufindishwe kazi kwa vitendo umesikia wapi, na performance apraisal yako ikufukuzishe kaz maan hujui. Tulia mshamba kabisa wwHata Kama saivi ajira ngumu msifanye hivo kutaka free labour Si sahihi kabsa, kwann usiwatafute ndugu Zko wakarbu wakajifunze hizo kazi foolish kabsa....
Mafunzo ya Kazi ambayo haina malipo umchukue mtu wa mkoani unategemea nn hapo kazini labda kama kuna namnaTumefikia huku? Yaani mtu aombe kazi ya bure? Inabidi awe anaishi jirani na, ofisi, je, chakula? Sabuni? Huyo mtu ataenda kuomba pesa kwa wanajamii
Best,Ww ndio foolish maana huelewi maana ya fresh graduate kujifunza kazi kwa vitendo, uwe fresh graduate ulipwe mshahara na huku ufindishwe kazi kwa vitendo umesikia wapi, na performance apraisal yako ikufukuzishe kaz maan hujui. Tulia mshamba kabisa ww
Huyo mwanafunzi unampangia w muda wa miez 6 kukaa ofisini kujifunza kazi. Mwanafunzi mwenyewe ataamua ataweza kwa miez mingapi depending with her or his availability, matter of choice halazimishwi mtu ni hiari na ikishakuwa hiari bas maamuzi ya mtu binafsi yasiingiliwe au kumtetea mtu anaye amua mwenyewe.Best,
Lakini kwa mazingira ya sasa kumwita mwanafunzi ofisini anakaa for 6 months bila hata stipends yoyote kwa kigezo cha kujifunza ni zaidi ya unfair.
Binafsi kuna mtu alikuja kufanya intern ofisini kwetu wakawa wanamfanyia huu mchezo, nilikereka sana nikajenga hoja yangu kwa management na kiukweli wakanielewa.
Kitu ambacho kilichokuwa kinafanyika kwenye taasisi yetu ni kwamba, akija mtu mwenye ukaribu na mtu ndani ya taasis alikuwa anapewa incentives, If not, hakuna atakaye angaika kukupa.
*And mind you taasis yetu haina mfumo rasmi wa kulipa incentives kwa non staffs, ila ubimadamu ulikuwa unafanyika.
Mkuu,hakuna kazi isiyokuwa na malipo,Wala huwezi kutangaza kuwa hakuna malipo.Wewe kama unataka INTERNS unatangaza nafasi,majukumu,location na muda.Then wakati wa INterview the rest will be discussed.Wana jamvi, aliye somea COMMUNITY DEVELOPMENT (Maendeleo ya Jamii), HUMAN RESOURCES MANAGEMENT, mnakaribishwa kuomba Internship kwa wale mnaotaka kujifunza kazi hapa ndio pahala penu. Internship haina incentives au malipo yoyote ni kazi ya kujitolea kwa wanaotaka kujifunza kazi.
tumeni c.v zenu kwenda, aidfortradelogistics@gmail.com.
Mkuu,Huyo mwanafunzi unampangia w muda wa miez 6 kukaa ofisini kujifunza kazi. Mwanafunzi mwenyewe ataamua ataweza kwa miez mingapi depending with her or his availability, matter of choice halazimishwi mtu ni hiari na ikishakuwa hiari bas maamuzi ya mtu binafsi yasiingiliwe au kumtetea mtu anaye amua mwenyewe.