Ooh ok. Huko Mbarali wanarudi Maiti? Jambo hili linasikirisha. Wabunge waunde tumeMbona hata huku tunawatumikisha sana mashambani na migodini. Tembelea mbalali huko kwenye mashamba ya mipunga
Kama ni hvyo kuna shida gani wakiwa manamba huko Israel
Kwani kusafiri nje ya nchi lazima kuwepo anayeratibu??Huu utaratibu wa kupeleka vijana Israel;
1. Nani anaratibu?
2. Sifa za kujiunga Ni zipi? Maana naona wanufaika wanatokea Kanda ya Kaskazini zaidi, Kuna nn hapo? Ukute Coordinator Mangi anapata Dola zake kimyaa huku vijana wanafuata kifo.
3. Usalama wao upoje? Shambani/vitani.
4. Je, ipo MoU au makubaliano yoyote? Au ndo modern slave trade/human trafficking?
Hawa wanaenda wengi Kwa wakati mmojaKwani kusafiri nje ya nchi lazima kuwepo anayeratibu??
Wakimjibu nitag.Hoja ya mtoa mada ijibiwe kwamba mbona wote wanaoenda kule wanatoka Kanda ya Kaskazini tu ? Au kwa sababu Waziri wa elimu anatoka Kanda hiyo ?
Ni ajabu sana nyuzi kama hii kuonekana hapa jukwaani!Huu utaratibu wa kupeleka vijana Israel;
1. Nani anaratibu?
2. Sifa za kujiunga Ni zipi? Maana naona wanufaika wanatokea Kanda ya Kaskazini zaidi, Kuna nn hapo? Ukute Coordinator Mangi anapata Dola zake kimyaa huku vijana wanafuata kifo.
3. Usalama wao upoje? Shambani/vitani.
4. Je, ipo MoU au makubaliano yoyote? Au ndo modern slave trade/human trafficking?
njoo pm tafadhari unipe connection ya jinsi ya kumpata dr Temu, wapo wengi sana wanaohitaji kwenda huko israel mkuu......Dalali wao anaitwa Dr Temu pande za Sua wanakulipia nauli Na Visa ukilipwa wanakukata cost zao
Wanawahadaa vijana wenye Degree ukienda shambani unalipwa na unatoka na Cheti cha Diploma ya Agriculture hivi uwe na Degree then utunukiwe Diploma ππ
Kuna kijana mmoja nilimskitikia sana mzazi wake baada ya kuniambia Kijana wake kafanikiwa kwenda Israel kujifunza masuala ya Intelijensia kwa udhamini wa Serikali
Watu wa Arusha na moshi ndo watu wanaofika sana chuo kikuu maybe watafata watu wa mwanza na kanda ya ziwa maybe kwasabbu ya uwepo wa uwezo wa kusomesha watoto private schools maana hao ndio waliojaa vyuoni watoto wa kayumba wnaishia sana njiani. Mada ya kijinga hii mtoa mada huna akili hata kufanya tafiti binafsi ujuiWakimjibu nitag.
serikali imedinda kulizungumzia hili suala na kuliundia tume.Itakuwa kuna kashfa kubwa ndani yake.Dalali wao anaitwa Dr Temu pande za Sua wanakulipia nauli Na Visa ukilipwa wanakukata cost zao
Wanawahadaa vijana wenye Degree ukienda shambani unalipwa na unatoka na Cheti cha Diploma ya Agriculture hivi uwe na Degree then utunukiwe Diploma ππ
Kuna kijana mmoja nilimskitikia sana mzazi wake baada ya kuniambia Kijana wake kafanikiwa kwenda Israel kujifunza masuala ya Intelijensia kwa udhamini wa Serikali
Watanzania upeo wao mdogo Tangu enzi za chief mangungo wa msovero achana na kichwa maji ichoNi ajabu sana nyuzi kama hii kuonekana hapa jukwaani!
Je! Kama lisingalitokea tukio lile la kigaidi la HAMAS lililoiingiza Israeli vitani uzi kama huu ungepanda hapa jukwaani na hoja zake hafifu!?
Je! Vifo vya vijana hawa wa Kitanzania vilitokea katika mazingira gani na vilisababishwa na nani!?
Ukisoma katikati ya mistari, utabaini kuwa hoja zake zimetamalaki chuki za kidini, kikabila ama kikanda, na pia ndizo hasa ambazo zimempelekea mpandisha uzi kuja kihivyo. Yeye pamoja na kujaribu kuzunguka kwake kote lakini kashindwa kuficha hisia zake kuhusu "u-Kaskazini" na "u-Mangi"
Watu wenye nia njema na uzalendo kwa nchi yetu ni lazima waungwe mkono. Zinapotokea fursa na vijana wetu wakaenda nchi za ughaibuni, hiyo inakuwa ni faida kwa nchi yetu. Lakini endapo katika nchi hizo kunatokea "political & social instabilities" ambazo zinapelekea madhila fulani kuwatokea vijani wetu, watu kama hawa hawapaswi kualaumiwa na tena kupitia hisia za udini, ukabila ama ukanda wao.
Nendeni mkalisaidie Taifa teule wapo maji ya shingo lkn tu yakiwakuta msije mkalia Lia hapaHuu utaratibu wa kupeleka vijana Israel;
1. Nani anaratibu?
2. Sifa za kujiunga Ni zipi? Maana naona wanufaika wanatokea Kanda ya Kaskazini zaidi, Kuna nn hapo? Ukute Coordinator Mangi anapata Dola zake kimyaa huku vijana wanafuata kifo.
3. Usalama wao upoje? Shambani/vitani.
4. Je, ipo MoU au makubaliano yoyote? Au ndo modern slave trade/human trafficking?
Joshua Mollel kafanywa kama nyama choma ,wajinga hawa wanapeleka watu kweny vita..Dalali wao anaitwa Dr Temu pande za Sua wanakulipia nauli Na Visa ukilipwa wanakukata cost zao
Wanawahadaa vijana wenye Degree ukienda shambani unalipwa na unatoka na Cheti cha Diploma ya Agriculture hivi uwe na Degree then utunukiwe Diploma ππ
Kuna kijana mmoja nilimskitikia sana mzazi wake baada ya kuniambia Kijana wake kafanikiwa kwenda Israel kujifunza masuala ya Intelijensia kwa udhamini wa Serikali
Akilii zenu fupi, sugeco wana website nenda kasome taratibu zao uliza mwanafunzi wa Sua labda wana info wakufahamishe kama amuwezi kusoma wenyewe kujijaza maarifa mtaweza nini hapa duniani, afu ukute ni mtu unalaumu serikali kumbe kichwa chako ndo shida yakoserikali imedinda kulizungumzia hili suala na kuliundia tume.Itakuwa kuna kashfa kubwa ndani yake.
Ngoja tuone athari zake.
Raia wa Tanzania tu ndio wako Israeli? Haya maisha bila risk utakufa kama kenge mtoni usie na chochote duniani, hapa watu wana kufa kilasiku bodaboda tuna zika daliy, ulitaka vijana wakae kusubiri ajira bongo wawe bodaaboda au mawinga kariakoo?Joshua Mollel kafanywa kama nyama choma ,wajinga hawa wanapeleka watu kweny vita..
Huyo dalali kupenda pesa wala hana utu, yule wa Urusi nae kauliwa pako kimya.
Maelezo ya mzee yanatosha dogo kajiroga ndio matokeo yake...Walivyokuwa watu wa hovyo Israel wameilist kweny nchi zenye political stability..