Internship (Manamba) mashambani Israel?

Internship (Manamba) mashambani Israel?

Joshua Mollel kafanywa kama nyama choma ,wajinga hawa wanapeleka watu kweny vita..

Huyo dalali kupenda pesa wala hana utu, yule wa Urusi nae kauliwa pako kimya.

Maelezo ya mzee yanatosha dogo kajiroga ndio matokeo yake...Walivyokuwa watu wa hovyo Israel wameilist kweny nchi zenye political stability..
Hakuna mtu kapelekwa kwa nguvu sijui kinacho wauma nyie ni nini
 
Watu wa Arusha na moshi ndo watu wanaofika sana chuo kikuu maybe watafata watu wa mwanza na kanda ya ziwa maybe kwasabbu ya uwepo wa uwezo wa kusomesha watoto private schools maana hao ndio waliojaa vyuoni watoto wa kayumba wnaishia sana njiani. Mada ya kijinga hii mtoa mada huna akili hata kufanya tafiti binafsi ujui
Labda Kilimanjaro tu, Arusha wamasai na shule wapi na wapi?
 
Akilii zenu fupi, sugeco wana website nenda kasome taratibu zao uliza mwanafunzi wa Sua labda wana info wakufahamishe kama amuwezi kusoma wenyewe kujijaza maarifa mtaweza nini hapa duniani, afu ukute ni mtu unalaumu serikali kumbe kichwa chako ndo shida yako
Intership na nafasi nyingi nazo ni connection labda kama wanafanyisha interview wenyewe ila kama wasimamizi ni wabongo hamna kitu ..

Ishu ipo wazi kila kona huo ujinga upo usije na ujinga wa ukanda wako ,chuo kina watu mchanganyiko sasa elimu kila acheni ubaguzi wa kijinga mtu akifa mnataka huruma ya watanzania wote ,pelekeni huo msib huko kwenu kama mnaleta ubaguzi.
 
Dalali wao anaitwa Dr Temu pande za Sua wanakulipia nauli Na Visa ukilipwa wanakukata cost zao
Wanawahadaa vijana wenye Degree ukienda shambani unalipwa na unatoka na Cheti cha Diploma ya Agriculture hivi uwe na Degree then utunukiwe Diploma [emoji38][emoji38]

Kuna kijana mmoja nilimskitikia sana mzazi wake baada ya kuniambia Kijana wake kafanikiwa kwenda Israel kujifunza masuala ya Intelijensia kwa udhamini wa Serikali
Kule wanajifunza kufanya kilimo Kwa vitendo ndio maana wanapewa diploma. Israel ipo advanced kwenye masuala ya kilimo. Wanazalisha chakula kingi na kusambaza duniani. Halafu wanaoenda kule sio watanzania tuu hata watu kutoka mataifa mengine wanaoenda. Kuna jamaa mmoja tulikuepo shortcourse Thailand anatokea Timor Leste alienda israel kwenye mafunzo. Halafu kule wanapokea mkwanja mrefu Sana . Wanarudi na chochote kile Tanzania

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Ooh ok. Huko Mbarali wanarudi Maiti? Jambo hili linasikirisha. Wabunge waunde tume
Miaka yote waliokuwa wakienda wamerudi maiti?au kuwa watu wa kaskazini Ndio nongwa?
Kwani Hao Hamas walishambulia kambi ya jeshi au raia?
 
Hoja ya mtoa mada ijibiwe kwamba mbona wote wanaoenda kule wanatoka Kanda ya Kaskazini tu ? Au kwa sababu Waziri wa elimu anatoka Kanda hiyo ?
Kilimo cha mbogamboga kinalimwa Sana kaakazini
 
Interniship - utarajali
Intern - tarajali
Apprenticeship - uanagenzi
apprentice - mwanagenzi

Indentured workers/ labourers - Manamba

Wanaoenda Israel kwenye huo mpango sidhani kama ni manamba.


1. Nani anaratibu?

2. Sifa za kujiunga Ni zipi? Maana naona wanufaika wanatokea Kanda ya Kaskazini zaidi, Kuna nn hapo? Ukute Coordinator Mangi anapata Dola zake kimyaa huku vijana wanafuata kifo.

3. Usalama wao upoje? Shambani/vitani.

4. Je, ipo MoU au makubaliano yoyote? Au ndo modern slave trade/human trafficking?
 
Huu utaratibu wa kupeleka vijana Israel;

1. Nani anaratibu?

2. Sifa za kujiunga Ni zipi? Maana naona wanufaika wanatokea Kanda ya Kaskazini zaidi, Kuna nn hapo? Ukute Coordinator Mangi anapata Dola zake kimyaa huku vijana wanafuata kifo.

3. Usalama wao upoje? Shambani/vitani.

4. Je, ipo MoU au makubaliano yoyote? Au ndo modern slave trade/human trafficking?
Hii suala watu wa sua waulizwe,wanaujua ukweli kuwa wale vijana wanaenda kukamua maziwa ng'ombe,mbuzi, wala si intership.

Mtu ana degree anaenda huko eti kutawaza mbuzi,kubeba kuku,kufagia mabanda ua wanyama.

Hiyo sugeco kwa sasa ni hadi watu wanalipia kwenda israeli.

Sua hapa wawajibike.
 
Mbona hata huku tunawatumikisha sana mashambani na migodini. Tembelea mbalali huko kwenye mashamba ya mipunga

Kama ni hvyo kuna shida gani wakiwa manamba huko Israel
Kwenye war zone ... Usalama wao mdogo sana ..
 
Dogo hiyo programme ipo zaidi ya miaka minne. Uliishasikia Kila wakienda wanakufa? Imetokea mara moja, tena kitendo cha kigaidi unaleta ngonjera humu? Kwahiyo hutaki waende? Ushamba wa wapi huu!?
Kwanza Hamas ni freedom fighters, sasa wewe unapokwenda na kujiweka upande wa mkandamizaji/ mkoloni utakuwa adui tu haitaji maelezo hiyo
 
Ajali kazini hata ukibaki bongo utakufa kwa msoto.
Bora ukajaribu bahati nje
 
Ni ajabu sana nyuzi kama hii kuonekana hapa jukwaani!

Je! Kama lisingalitokea tukio lile la kigaidi la HAMAS lililoiingiza Israeli vitani uzi kama huu ungepanda hapa jukwaani na hoja zake hafifu!?

Je! Vifo vya vijana hawa wa Kitanzania vilitokea katika mazingira gani na vilisababishwa na nani!?

Ukisoma katikati ya mistari, utabaini kuwa hoja zake zimetamalaki chuki za kidini, kikabila ama kikanda, na pia ndizo hasa ambazo zimempelekea mpandisha uzi kuja kihivyo. Yeye pamoja na kujaribu kuzunguka kwake kote lakini kashindwa kuficha hisia zake kuhusu "u-Kaskazini" na "u-Mangi"

Watu wenye nia njema na uzalendo kwa nchi yetu ni lazima waungwe mkono. Zinapotokea fursa na vijana wetu wakaenda nchi za ughaibuni, hiyo inakuwa ni faida kwa nchi yetu. Lakini endapo katika nchi hizo kunatokea "political & social instabilities" ambazo zinapelekea madhila fulani kuwatokea vijani wetu, watu kama hawa hawapaswi kulaumiwa na tena kupitia hisia za udini, ukabila ama ukanda wao.
Kwa hiyo wewe unaona ni faida kuwachukua watu wakaskazini, wachanga ni watu wa ovyo , ukabila imewajaa, ndo mana nasema Chadema haifai hata nukta mana inaukabila sana
 
Wapo watanzania wengi sana wenye akili nzuri.
Changamoto kubwa ni kwamba watu wenye akili ndogo wameachwa wakapata madaraka, nafasi za maamuzi na majukwaa ya kuzungumzia kuliko wale wenye akili kubwa.
Sasa, kwa kuwa akili ndogo huogopa akili kubwa, watazidi kutafuta akili ndogo zaidi kuwarithi na matokeo yake ni kuangamia kwa taifa.
Jambo la kufanya ni kutumia fursa ya teknolojia ya habari kwa makini kutambua wenye akili na wasio nazo (siyo rahisi lakini wenye akili wanaweza).
Watu wenye akili waunganishwe bila kujali kabila, jinsia, umri, kazi yake na makazi(popote alipo duniani) na hatimaye wafanye jambo kwa manufaa ya vizazi vijavyo na mustakabali mwema wa taifa.
Ivi wewe unawajua wachanga wewe, hawawezi kuunganika ni wabinafsi sana
 
Intership na nafasi nyingi nazo ni connection labda kama wanafanyisha interview wenyewe ila kama wasimamizi ni wabongo hamna kitu ..

Ishu ipo wazi kila kona huo ujinga upo usije na ujinga wa ukanda wako ,chuo kina watu mchanganyiko sasa elimu kila acheni ubaguzi wa kijinga mtu akifa mnataka huruma ya watanzania wote ,pelekeni huo msib huko kwenu kama mnaleta ubaguzi.
Nasemaje Hamas piga huyo Joshua na wengine walio Baki
 
Back
Top Bottom