The Spirit of Tanzania
JF-Expert Member
- Mar 7, 2020
- 1,045
- 1,868
Watu wanalipa pesa wapate nafasi na kwenda israeli,kikubwa pesa tu.Intership na nafasi nyingi nazo ni connection labda kama wanafanyisha interview wenyewe ila kama wasimamizi ni wabongo hamna kitu ..
Ishu ipo wazi kila kona huo ujinga upo usije na ujinga wa ukanda wako ,chuo kina watu mchanganyiko sasa elimu kila acheni ubaguzi wa kijinga mtu akifa mnataka huruma ya watanzania wote ,pelekeni huo msib huko kwenu kama mnaleta ubaguzi.
Hata vyeti havitumiki pale kwenye usaili wala popote.
Utakuta mtu hata kilimo hakijui wala hajasomea mambo hayo amehonga pesa aende na anaenda kuogesha mbuzi wa kiyahudi.
Sugeco waje hapa wakatae rushwa iliyoko hapo.