mkuu nashukuru sana umenipa pa kuanzia asante kwa kutoa muda wako kutupa elimuKifungu cha 35 cha sheria ya Ajira na mahusiano kazin kinawaondoa wale wote walio fany kazi chin ya miez 6 kwa mwajiri huyo huyo hawawez ku claim unfair termination,,
Nanukuu hcho kifungu cha 35 of ELRA NA6/2004 the provision of this Sub part shall not apply to an employee with less than 6 months employment with the same employer, whether under one or more contracts.
Sasa tuje kweny mada umeshamaliz mwaka mmoja halfu akafany renewable ya mkataba mwingine mpya ikaja miez miwil akawa terminated kwa madai kwamba kwa kosa alilo lifanya mwanzo
Jibu
1. Kwanz hiyo ni unfair terminated kwa sababu mkataba wa mwanzo umeisha na hauwez kusema kwamba naku terminate kwa kosa lile ambalo kwa mkataba ule limesha futika halipo tena.
2. Cha pil kwa mujib wa kifung cha 35 hcho cha kuwaondoa wafanyakaz ambao wamefany kaz chin ya miez 6 kwa mwajir huyo hawatawez ku claim kuwa unfair termination kwa huyu anauwezo wa ku claim unfair termination kwa sababu huo mkataba alio ingia ambao ni renewable ni muendelezo wa mkatab wa kwanz ambao kwa mwajir huyo tunasema kisheria amefany kaz mwak 1 na miez 2 kwa mwajir huyo huyo, kwa hayo all benefits of unfair termination atapata kama atadai,,
Angekuwa kwnza ndo anaanz kaz kwa mwajir huyo hapo alikuwa hana hak ya claim kwamba ameachishwa kaz isivyo kihalal lakn kwa mantik hyo hapo kwamba nimefany kaz 1 yr then nikaongezewa mkatba mwingin wa 1 yrs within 2 months akani terminate hii mwajir haja fany fair.
3. Kuhsu breach of contract
Kuna several remedies available in case of breach of contract
a. Damages remedies
b. Sue for specific perfomance
C. Sue for quantum meruit
d. Sue for injuction
Kwa hyo ww utaangalia nature ya mkataba wako kwa mfano kifungu cha 40(1) (a) (b) and (c) of employment andLabour Relation Act N6 of 2004 kuna vitu vimeanishwa nn mwamuz atafany ikigundulika kwamba umefanyiwa unafair termination
NAOMBA TAFSIRI YA HIYO SHERIA ,je mfanyakazi aliemaliza muda wa mkataba wake wa mwaka 1na kuongezewa mkataba mpya wa mwaka 1 ,akafukuzwa kwa kosa lililotokea kwenye mkataba wa awali akiwa ameshatimiza miezi 2 kwenye mkataba mpya anaweza kufungua shauri la kufukuzwa pasipo haki au kila mkataba anahesabika kama mfanyakazi mpya? NA BREACH OF EMPLYMENT CONTRACT INAFUNGULIWA KWA SHERIA GANI NA PROCEDURE ZIPI?
tafadhali jibu ukiwa umesoma sub part e of the ELRA ESPECIALLY SECTION TAJWA HAPO JUU together with other sect there under
Kifungu cha 35 cha sheria ya Ajira na mahusiano kazin kinawaondoa wale wote walio fany kazi chin ya miez 6 kwa mwajiri huyo huyo hawawez ku claim unfair termination,,
Nanukuu hcho kifungu cha 35 of ELRA NA6/2004 the provision of this Sub part shall not apply to an employee with less than 6 months employment with the same employer, whether under one or more contracts.
Sasa tuje kweny mada umeshamaliz mwaka mmoja halfu akafany renewable ya mkataba mwingine mpya ikaja miez miwil akawa terminated kwa madai kwamba kwa kosa alilo lifanya mwanzo
Jibu
1. Kwanz hiyo ni unfair terminated kwa sababu mkataba wa mwanzo umeisha na hauwez kusema kwamba naku terminate kwa kosa lile ambalo kwa mkataba ule limesha futika halipo tena.
2. Cha pil kwa mujib wa kifung cha 35 hcho cha kuwaondoa wafanyakaz ambao wamefany kaz chin ya miez 6 kwa mwajir huyo hawatawez ku claim kuwa unfair termination kwa huyu anauwezo wa ku claim unfair termination kwa sababu huo mkataba alio ingia ambao ni renewable ni muendelezo wa mkatab wa kwanz ambao kwa mwajir huyo tunasema kisheria amefany kaz mwak 1 na miez 2 kwa mwajir huyo huyo, kwa hayo all benefits of unfair termination atapata kama atadai,,
Angekuwa kwnza ndo anaanz kaz kwa mwajir huyo hapo alikuwa hana hak ya claim kwamba ameachishwa kaz isivyo kihalal lakn kwa mantik hyo hapo kwamba nimefany kaz 1 yr then nikaongezewa mkatba mwingin wa 1 yrs within 2 months akani terminate hii mwajir haja fany fair.
3. Kuhsu breach of contract
Kuna several remedies available in case of breach of contract
a. Damages remedies
b. Sue for specific perfomance
C. Sue for quantum meruit
d. Sue for injuction
Kwa hyo ww utaangalia nature ya mkataba wako kwa mfano kifungu cha 40(1) (a) (b) and (c) of employment andLabour Relation Act N6 of 2004 kuna vitu vimeanishwa nn mwamuz atafany ikigundulika kwamba umefanyiwa unafair termination
Hii 'n wrong mkuu haikuwa ya Hapa kuifuta nilishindwaKwanza inatakiwa ieleweke ni muda gani ulipita kutoka kumalizika kwa mkataba wa kwanza na kuanza kwa mkataba wa pili; ikiwa mkataba wa pili ni muendelezo wa mkataba wa kwanza na mfanyakazi hakupewa stahiki zozote (terminal benefits) wakati mkataba wa kwanza unaisha; na kama alikuwa na kosa ambalo alikuwa analitumikia wakati mkataba unaisha (Disciplinary warning huwa zina muda wa kuwa valid) basi ajira yake inaweza kusitishwa kutokana na kosa alilofanya miezi miwili baada ya kupewa mkataba mpya ikiwa onyo la mwisho alilopewa lilikuwa bado 'valid'. Katika hali hii Mkataba wa pili ni muendelezo tu wa mkataba wa kwanza na 'it does not constitute ajira mpya.'
Kuhusiana Breach of Employment Contract sheria mama ni Employment and Labour Relations Act, 2004 na procedures zote unaweza kuzipata katika Employment and Labour Relations (Code of Good Practise) Rules, G.N. No. 42 of 2007 (ELRA Rules).
Unahitaji kusoma vizuri sheria ya kazi na kuielewa.
Ubarikiwe sana sema tu kwa sababu ya kuandika ndo maan ingekuwa ni kuongea da ungechoka ww
Amevunja mwajiri?Lakini mkuu inakuaje kama umevunjiwa mkataba na mkata ba wangu ni wa mwaka lakini sikufikisha miezi 6
Hakuna sehemu mnayo Sain? Baada ya kupata mshahara?Lingine mkuu imekaeje hii ikiwa mwajiri hataki kutoa risiti za malipo kwa maana ya slip salary je unaweza ukamkana kua alikua hakupi mshahara bali alikua anakupa posho tu boss wangu mbishi sana kwenye hili swala nataka nimtengezee kimeo
Kama una bank statement n vzurii,,huyo ana mpango kwamba atakapo kutimua kaz akukatae ww hakufaham...ila hakikisha documents zote zinazohusu ajira yako uwe Nazo,, na kama anakulipa hela akupi salary slip usiwe na shaka ucjarii,,,cha uwe tu na ushahid wa kwamba hao n waajir wako na ndo wanaokulipa hela,,Hakuna zaidi nina bank statements