soskeneth
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 583
- 235
Anakukata kwa namba IP ya uanachama? Wakat haujajiunga? Huyo anafanyia mambo yake hzo hela,,anakukata kweny mfuko gan?Wananikata lakini mpaka sasa sina membership card nimefuatilia mpaka nimechoka hata kodi yaani PAYE tax sijui kama anakusanya