kimpango
JF-Expert Member
- Apr 24, 2011
- 600
- 717
NAOMBA TAFSIRI YA HIYO SHERIA,
je mfanyakazi aliemaliza muda wa mkataba wake wa mwaka 1 na kuongezewa mkataba mpya wa mwaka 1, akafukuzwa kwa kosa lililotokea kwenye mkataba wa awali akiwa ameshatimiza miezi 2 kwenye mkataba mpya anaweza kufungua shauri la kufukuzwa pasipo haki au kila mkataba anahesabika kama mfanyakazi mpya? NA BREACH OF EMPLYMENT CONTRACT INAFUNGULIWA KWA SHERIA GANI NA PROCEDURE ZIPI?
Tafadhali jibu ukiwa umesoma sub part e of the ELRA ESPECIALLY SECTION TAJWA HAPO JUU together with other sect there under