Interpretation section 35 of the employment and labour relations act

Wananikata lakini mpaka sasa sina membership card nimefuatilia mpaka nimechoka hata kodi yaani PAYE tax sijui kama anakusanya
Anakukata kwa namba IP ya uanachama? Wakat haujajiunga? Huyo anafanyia mambo yake hzo hela,,anakukata kweny mfuko gan?
 
Nasio mimi tu ni kampuni nzima wachache sana wenye membership card ujanja anaoutumia amejiunga kwenye PPF ambako wamezuia mafao mpaka ufikishe miaka 55. Hivyo ikitokea umeacha kazi anakuuliza akupelekee ppf ukasubiri miaka55 au akupe mkononi lakini akupe alio kukata bila ya mchango wake ina maana kama alikua anakata 60000 kwa kila mwezi kwenye gross salary akupe hiyohiyo nasi 120000
 
Duuuu polen sana ,,,unafanya kaz sector binafc? Sasa mjiunge na vyama vya wafanyakaz maan hvyo ndo ulinz wenu Wenda kwa scenario ulivyonipa kuna watu wanazulumiwa sana
 
Ni sector binafsi kwa hawa watu wa bara la Asia yaani ni taabu ila najiandaa kumfundisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…