INTERVIEW KADA YA UALIMU BADO SIYO HAKI

INTERVIEW KADA YA UALIMU BADO SIYO HAKI

Gwamanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2021
Posts
223
Reaction score
434
Binafsi sibishani na kuwafanyisha wahitimu usaili, ila nawewe fikilia kwenye angle hii
kemia oral 2800 wanahitajika 541
Bailojia oral 2200 wanahitajika 511
Kwa CB aliyepita yote ni 1052 kati ya 5000, hesabu rahisi ni 1 ya watano yani hata ukienda oral uhakika wa kuajiriwa inabaki kuwa kudra za mwenyezi mungu🙏🙏🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom