INTERVIEW KADA YA UALIMU BADO SIYO HAKI

INTERVIEW KADA YA UALIMU BADO SIYO HAKI

Gwamanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2021
Posts
223
Reaction score
434
Binafsi sibishani na kuwafanyisha wahitimu usaili, ila nawewe fikiria kwenye angle hii
kemia oral 2800 wanahitajika 541
Bailojia oral 2200 wanahitajika 511
Kwa CB aliyepita yote ni 1052 kati ya 5000, hesabu rahisi ni 1 ya watano yani hata ukienda oral uhakika wa kuajiriwa inabaki kuwa kudra za mwenyezi munguh
 
Binafsi sibishani na kuwafanyisha wahitimu usaili, ila nawewe fikilia kwenye angle hii
kemia oral 2800 wanahitajika 541
Bailojia oral 2200 wanahitajika 511
Kwa CB aliyepita yote ni 1052 kati ya 5000, hesabu rahisi ni 1 ya watano yani hata ukienda oral uhakika wa kuajiriwa inabaki kuwa kudra za mwenyezi munguh

Wahitaji ni wengi sana lakini nafasi ni chache.
 
Kama na wewe ni mwalimu na unaandika fikilia badala ya fikiria , hizo interviews ni muhimu sana
 
Daah pole MKUU... MUNGU mwema tuungane na wadai haki kuondoa mifumo ya kijinga kama Hii.... Kama wanaweza Lipa wasanii...wakanunua magari ya kifahari... Rushwa na ufisadi ukawa mwingi wanashindwa nini kuajiri walimu angalau 70K
 
Hata hivo waliopita bila interview ni makosa tu yalifanyika lakini ki uharisia hakuna kazi ya kuajiriwa bila kufanyiwa majaribio punguzeni hizi kelele
 
Binafsi sibishani na kuwafanyisha wahitimu usaili, ila nawewe fikiria kwenye angle hii
kemia oral 2800 wanahitajika 541
Bailojia oral 2200 wanahitajika 511
Kwa CB aliyepita yote ni 1052 kati ya 5000, hesabu rahisi ni 1 ya watano yani hata ukienda oral uhakika wa kuajiriwa inabaki kuwa kudra za mwenyezi munguh
Ndoivo mkuu.Sasa tutafanya je?
 
Back
Top Bottom