Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Tupewe ajira kwa haki iliyo dhahiriJamani mnataka mfanyiwe nini? Kila kitu lawama tu.
Mbona kama inaweza kuwafaidisha zaidi kuliko kuwaumiza??Sektretalieti ya ajira na utumishi wa umma, leo wametangaza kuanza mchakato wa kufanya usahili kwa njia ya mtandao (online interview) hiki ni kipigo kingine kwa watoto wa wakulima wasiokuwa na mjomba, shangazi, au baba wa kuwashika mkono..
Hauwezi kuwa wa haki.... Mimi mpaka leo Jamii huwa inajiuliza nilifanya nini hicho kibaya mpaka Mimi kunyimwa ajira na serikali ya Tanzania....Je wasiokiwa na nauli za kwenda Dodoma utumishi.?
Ikiwa mfumo utakuwa wa haki itakuwa vizuri Sana .
Kivipi?Mbona kama inaweza kuwafaidisha zaidi kuliko kuwaumiza??
Kigezo ni kuwa na kuwa na pesa ya kuhonga au sio tajiriKuwa mtoto wa mkulima sio kigezo cha wwe kupata kazi..
Accessibility, practicality & convenience!Kivipi?
Sektretarieti ya ajira na utumishi wa umma, leo wametangaza kuanza mchakato wa kufanya usahili kwa njia ya mtandao (online interview) hiki ni kipigo kingine kwa watoto wa wakulima wasiokuwa na mjomba, shangazi, au baba wa kuwashika mkono..
Sisi watanzania ni watu wa ajabu sana yani kila kitu ni malalamiko.Jamani mnataka mfanyiwe nini? Kila kitu lawama tu.
Sasa hauoni kama wamerahisishiwa badala ya mtu kusafiri kutoka kwao tandahimba uko masasi au Ligangabilili mkoa mpya simiyu kwenda Dodoma kwa "indavyuu" saivi atapiga indavyuu akiwa ukouko kwao?.Sektretarieti ya ajira na utumishi wa umma, leo wametangaza kuanza mchakato wa kufanya usahili kwa njia ya mtandao (online interview) hiki ni kipigo kingine kwa watoto wa wakulima wasiokuwa na mjomba, shangazi, au baba wa kuwashika mkono..