Interview kufanyika online utumishi hiki ni kiini macho kingine kwa watoto wa wakulima

Interview kufanyika online utumishi hiki ni kiini macho kingine kwa watoto wa wakulima

Watu kama wana connection hata ukienda kulala ofisi zao pale Dom ndiyo itasaidia?

In fact sasa hivi gharama za kwenda kwenye interview itakua zimepunguzwa
 
Ukiwa mtoto wa masikini usijivishe unyonge mkuu

Kuna watu wametokea kwenye umasikini but now wapo vzr

Kufanikiwa kunategemea zaidi wewe utakavyotumia.

Locus of control
Do the best
 
Dah! Upo zako Sumbawanga vijijini huko unatafuta hela ya bando ufanye usaili na internet yenyewe ya Airtel.
Vijana watalazimika kuwa na computer mpakato all the way.
 
Hivi watanzania mtaogopa teknolojia mpaka lini? Nimesikia pia watumishi wa umma wanalalamika kuwa wanatakiwa kujisajili kwa mtandao kupata services za kiutumishi .
Tatizo sio technology Bali miundombinu ya hiyo technology mm Niko zangu Umbuji huko mtandao unasoma E hiyo online interview naifanyaje? Mm naona hizo interview zingekuwa zinafanyika kikanda.
 
Dah! Upo zako Sumbawanga vijijini huko unatafuta hela ya bando ufanye usaili na internet yenyewe ya Airtel.
Vijana watalazimika kuwa na computer mpakato all the way.
Unless hawana smartphone wanatumia vitochi….. ukiwa na smartphone tu unaweka app, vijana wanabundle la kuangalia porno wakose bundle lakufanyia interview?
 
Huu ndiyo mfumo mzuri wa kuondoa urasimu! Huenda hata mtoto wa mkulima akapata nafasi.
 
Kama kuna graduate anaomba kazi na hana kompyuta hata mpakato inabidi ajitafakari
Ni kweli kabisa!
Lakini nadhani hata asipokuwa nayo! Kama ana Smartphone nzuri na anajua kuitumia mbona mambo ni mazuri?
 
Back
Top Bottom