Interview kufanyika online utumishi hiki ni kiini macho kingine kwa watoto wa wakulima

Angalau sasa hivi utakosa ajira ukiwa hujatumia gharama kubwa kuliko hapo awali ambapo ulkuwa unakosa ajira wakati umeshatumia gharama za kutosha

NB: connection itabaki pale pale, watapata ajira ambao hata interview hawajafanya
 
Tusiogope ngoja tuone utakuaje,wamesema itakua inafanyika katika vituo kama veta na shule zenye computer lab,so badilisheni anuani muweke anuani za makazi uliopo usije ukapangiwa kituo tofaut ukalalamika,kingine maswali wamesema yatakua multiple choice na fill in the blanks.
 
Upendeleo amna maana majibu unayapata hapo hapo..

Sema kitu kipya kwa watu wengi ila ukiitwa oral ndo dodoma?
Hamna upendeleo, ni means za kufanya usaili zimwbadilika. Private institution zimekuwa zikifanya hivyo mbona hatujasikia malalamiko?
Au mnataka muwe mnaenda dar everyday halaf mkose ajira mrudi tena
 
Sektretarieti ya ajira na utumishi wa umma, leo wametangaza kuanza mchakato wa kufanya usahili kwa njia ya mtandao (online interview) hiki ni kipigo kingine kwa watoto wa wakulima wasiokuwa na mjomba, shangazi, au baba wa kuwashika mkono..
Good news aisee, tena wamechelewa. Instead ya watahiniwa wote kwenda darnkufanya usaili, ni bora iliwa hivi. Tena ngazi ya wilaya au mkoa. Ili ile cream ndio iende dar.
Hii itapunguza msongamano na upotevu wa nauli kwa wahusika
 
Sektretarieti ya ajira na utumishi wa umma, leo wametangaza kuanza mchakato wa kufanya usahili kwa njia ya mtandao (online interview) hiki ni kipigo kingine kwa watoto wa wakulima wasiokuwa na mjomba, shangazi, au baba wa kuwashika mkono..
Kipgo? Acha hii negativity, itafunga baraka zako nyingi sana.
 
Polepole ndio mwendo hizo changamoto zitafika mwisho . kikubwa ni kuanza msiogope kuanza.
 
Dah! Upo zako Sumbawanga vijijini huko unatafuta hela ya bando ufanye usaili na internet yenyewe ya Airtel.
Vijana watalazimika kuwa na computer mpakato all the way.
Chuo huwa kila mtu Ana laptop huzitupa wapi ?
 
Sektretarieti ya ajira na utumishi wa umma, leo wametangaza kuanza mchakato wa kufanya usahili kwa njia ya mtandao (online interview) hiki ni kipigo kingine kwa watoto wa wakulima wasiokuwa na mjomba, shangazi, au baba wa kuwashika mkono..
Umeelewa kilichosemwa au umedandia hoja?

Kipi bora kusafiri kutoka huko kwenu Kasulu kwenda Dodoma au Dar kufanya interview au kwenda internet cafe hapo Kasulu?

Tumia viungo sahihi kufikiri!
 
Umeelewa kilichosemwa au umedandia hoja?

Kipi bora kusafiri kutoka huko kwenu Kasulu kwenda Dodoma au Dar kufanya interview au kwenda internet cafe hapo Kasulu?

Tumia viungo sahihi kufikiri!
Watoto wa lala hoi ni mwendo wa kujishtukia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…