Soma kwa kufuata job description mkuu,hawatoki hapo
Ukifanikiwa kupenya oral hiyo ya kufundisha jiandae na kupresent/ kufundisha topic yeyote unayo imudu then unapigwa maswali kwenye topic husika uliyofundisha mbele ya panel na maswali mengine yahusuyo hiyo post