Natarajia kurudi tena darasani so huwa nabaki njia panda juu ya biashara yangu nani atasimamia na kutatua changamoto kama nifanyavyo mwenyewe,.na wakati huohuo nahitaji tena kurudi school kuongeza maarifa basi najikuta nadata sometimes.
Hakuna mahali nilimkosea,ila Long distance killed mahusiano yetu.Pole sana! Kwa hisia zako ulivyojaribu kudadisi unahisi Sababu ya yeye kukuacha alikuwa yeye au wewe kuna mahali ulimkosea?
1.actually awamu hii ya tano kwa upande Wangu haijanithiri saaana kwani naishi maisha yaleyale ya awamu zote,ila imeniongezea tuu funzo juu ya utumiaji fedha,kupunguza ubadhilifu na pengine kuwa na savings.mumu....ukiwa kama kijana umeathirika /umenufaika vp na huu mfumo (awamu ya tano ) nn maoni yako ?
lini ulianza kuitumia jf? ni jukwaa gan linakuvutia , ?
kama mwanamke ni changamoto gan unayokutana nayo jf ? matapel...mtongozo n.k
kwa umri wako huo...ulishawah kumiliki kias gan cha fedha ambacho ni kikubwa ? ulizipataje ? ulizifanyia nn ?
single moms wanasakamwa sana hapa.....je kama mwanamke unalichukuliaje hili ?
ulisex for the 1st time ukiwa na umri gan...?
Sent using Jamii Forums mobile app
2.nilianza kutumia Jf since 2013 ila kwa ID nyingine jukwaa nilipendalo ni MMU[emoji4]mumu....ukiwa kama kijana umeathirika /umenufaika vp na huu mfumo (awamu ya tano ) nn maoni yako ?
lini ulianza kuitumia jf? ni jukwaa gan linakuvutia , ?
kama mwanamke ni changamoto gan unayokutana nayo jf ? matapel...mtongozo n.k
kwa umri wako huo...ulishawah kumiliki kias gan cha fedha ambacho ni kikubwa ? ulizipataje ? ulizifanyia nn ?
single moms wanasakamwa sana hapa.....je kama mwanamke unalichukuliaje hili ?
ulisex for the 1st time ukiwa na umri gan...?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye biashara naomba ubia ili ukienda kusoma iendelee kama kawaidaNatarajia kurudi tena darasani so huwa nabaki njia panda juu ya biashara yangu nani atasimamia na kutatua changamoto kama nifanyavyo mwenyewe,.na wakati huohuo nahitaji tena kurudi school kuongeza maarifa basi najikuta nadata sometimes.
>kabla cjakuwa na biashara niliwahi kumiliki Kiasi cha 2milion,nilipewa na baba na nilizitumia kwa mambo yangu tuu binafsi ikiwa ni pamoja na kununua simu kali ya Samsung na kula bata zingine tuu.mumu....ukiwa kama kijana umeathirika /umenufaika vp na huu mfumo (awamu ya tano ) nn maoni yako ?
lini ulianza kuitumia jf? ni jukwaa gan linakuvutia , ?
kama mwanamke ni changamoto gan unayokutana nayo jf ? matapel...mtongozo n.k
kwa umri wako huo...ulishawah kumiliki kias gan cha fedha ambacho ni kikubwa ? ulizipataje ? ulizifanyia nn ?
single moms wanasakamwa sana hapa.....je kama mwanamke unalichukuliaje hili ?
ulisex for the 1st time ukiwa na umri gan...?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeliona hilo ahsante mkuu [emoji18]Unaonaje uwe na break kidogo nakuonea huruma jamaa amekuburuza kwa masaa kibao mpaka amebore wengi
Hahah serious!?Kwenye biashara naomba ubia ili ukienda kusoma iendelee kama kawaida
[emoji23] [emoji23] [emoji23] huyo ndio mumu og..siuzi chochote tofauti na nafaka(chakula)baaaaasi so sitangazi tofauti na biashara halali niifanyayo.Ila mumu naona kuna maswali mengine yamekuchoresha sana nilidhani utayakwepa lkn umetiririka mpaka mwisho. Kama upo kwenye kufanya matangazo hapo sawa
Very serious,but with good terms of partnershipHahah serious!?
Unajua baadhi ya vijana hatupendi "kuchalenjiwa" huyu Mr President wa sasa ni kama challenger kwetu vijana so tunatakiwa kukaza na kupambana kwa kila hali....usipofanya kazi au kujishughulisha ni lazima hutokula,.pengine tulizoea mambo ya Dady am going a wanna use yo car now inatukost so we need to change absolutely... Kutusua kupo palepale ila nilazima ujipinde haswaaRais Wa sasa Na serikali yake je ni kikwazo kwa vijana wengi kutusua kijasiriamali?
Nani mentors wako kibiashara!?
DJ sepetu
Thanks for an interview, I appreciated.[emoji6]Mumu thanks
Endelea kujibu maswali
DJ sepetu