Interview na bibie mumu

Interview na bibie mumu

Maswali ya mwisho kutoka kwangu!
Kwa Hali ya sasa unawashauri vijana wajielekeze ktk sectors zipi!?
Ndoto yako ni ipi

DJ sepetu
 
Asanteni bandugu mnaweza kuendelea Na mumu!
She is all yours am done haina makombo
Jokes!!!!!!!!!!!!!!!!!

DJ sepetu
 
Mumu thanks
Endelea kujibu maswali

DJ sepetu
 
mumu....ukiwa kama kijana umeathirika /umenufaika vp na huu mfumo (awamu ya tano ) nn maoni yako ?

lini ulianza kuitumia jf? ni jukwaa gan linakuvutia , ?

kama mwanamke ni changamoto gan unayokutana nayo jf ? matapel...mtongozo n.k

kwa umri wako huo...ulishawah kumiliki kias gan cha fedha ambacho ni kikubwa ? ulizipataje ? ulizifanyia nn ?

single moms wanasakamwa sana hapa.....je kama mwanamke unalichukuliaje hili ?

ulisex for the 1st time ukiwa na umri gan...?

Sent using Jamii Forums mobile app
1.actually awamu hii ya tano kwa upande Wangu haijanithiri saaana kwani naishi maisha yaleyale ya awamu zote,ila imeniongezea tuu funzo juu ya utumiaji fedha,kupunguza ubadhilifu na pengine kuwa na savings.
 
mumu....ukiwa kama kijana umeathirika /umenufaika vp na huu mfumo (awamu ya tano ) nn maoni yako ?

lini ulianza kuitumia jf? ni jukwaa gan linakuvutia , ?

kama mwanamke ni changamoto gan unayokutana nayo jf ? matapel...mtongozo n.k

kwa umri wako huo...ulishawah kumiliki kias gan cha fedha ambacho ni kikubwa ? ulizipataje ? ulizifanyia nn ?

single moms wanasakamwa sana hapa.....je kama mwanamke unalichukuliaje hili ?

ulisex for the 1st time ukiwa na umri gan...?

Sent using Jamii Forums mobile app
2.nilianza kutumia Jf since 2013 ila kwa ID nyingine jukwaa nilipendalo ni MMU[emoji4]

3.Mitongozo ipo pm lakini najua wengine wanapenda tuu kutembea pm za watu ila hawamaanishi kwahiyo namm nawachukulia hivyo hivyo...ndio hao matapeli wenyewe wa mapenzi..siwatilii maanani sana.
 
Natarajia kurudi tena darasani so huwa nabaki njia panda juu ya biashara yangu nani atasimamia na kutatua changamoto kama nifanyavyo mwenyewe,.na wakati huohuo nahitaji tena kurudi school kuongeza maarifa basi najikuta nadata sometimes.
Kwenye biashara naomba ubia ili ukienda kusoma iendelee kama kawaida
 
mumu....ukiwa kama kijana umeathirika /umenufaika vp na huu mfumo (awamu ya tano ) nn maoni yako ?

lini ulianza kuitumia jf? ni jukwaa gan linakuvutia , ?

kama mwanamke ni changamoto gan unayokutana nayo jf ? matapel...mtongozo n.k

kwa umri wako huo...ulishawah kumiliki kias gan cha fedha ambacho ni kikubwa ? ulizipataje ? ulizifanyia nn ?

single moms wanasakamwa sana hapa.....je kama mwanamke unalichukuliaje hili ?

ulisex for the 1st time ukiwa na umri gan...?

Sent using Jamii Forums mobile app
>kabla cjakuwa na biashara niliwahi kumiliki Kiasi cha 2milion,nilipewa na baba na nilizitumia kwa mambo yangu tuu binafsi ikiwa ni pamoja na kununua simu kali ya Samsung na kula bata zingine tuu.

>kwanza sipendi single moms wanavyozungumziwa vibaya, na kwazika sana,ujue hawa single moms so wote walipenda kulea pekeyao ila wapo waliosababishiwa hiyo hali,na wasababishi ni wanaume na si wengine....mm niwashauri tuu kuwa kila mahusiano si lazima yaishie kwenye NDOA na si lazima wanawake woote waolewe LA hasha kama hapana budi,Basi wajitahidi kuwapenda,kuwajali na kuwatunza watt wao,amekosa NDOA lakini hajakosa mtoto hivyo akubaliane na hali na kupuuzia wanaume wakware wasiojua thamani ya mwanamke.
 
Ila mumu naona kuna maswali mengine yamekuchoresha sana nilidhani utayakwepa lkn umetiririka mpaka mwisho. Kama upo kwenye kufanya matangazo hapo sawa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] huyo ndio mumu og..siuzi chochote tofauti na nafaka(chakula)baaaaasi so sitangazi tofauti na biashara halali niifanyayo.
 
Rais Wa sasa Na serikali yake je ni kikwazo kwa vijana wengi kutusua kijasiriamali?
Nani mentors wako kibiashara!?

DJ sepetu
Unajua baadhi ya vijana hatupendi "kuchalenjiwa" huyu Mr President wa sasa ni kama challenger kwetu vijana so tunatakiwa kukaza na kupambana kwa kila hali....usipofanya kazi au kujishughulisha ni lazima hutokula,.pengine tulizoea mambo ya Dady am going a wanna use yo car now inatukost so we need to change absolutely... Kutusua kupo palepale ila nilazima ujipinde haswaa

Mentor Wangu Oprah Winfrey
 
Back
Top Bottom