Wa pili na wa mwishoMumu wewe ni mtoto Wa ngapi kuzaliwa
DJ sepetu
Sababu gani ilifanya mkaachana?Nilikuwa nae ila kwa bahati nzuri au mbaya tumeachana,ni mwaka na nusu sasa.
Kwakweli sikujishughulisha kwa lolote juu ya kuokoa penzi letu,kwasababu hakuniacha kwakuniambia Bali alikuwa na mahusiano na mtu mwingine wakati bado yuko na mm,,.hivyo sikuona haja ya kuliokoa niliona limefika mwisho wake tu.Sababu gani ilifanya mkaachana?
Na je ulifanya juhudi gani kuokoa penzi lenu mpaka ukashindwa?
Halafu nakumbuka nilishakutongoza wewe ukaniahidi kunipa jibu langu mwezi huu tena tulikubaliana liwe zuri.Well,..nimezaliwa kinondoni DSM Nina miaka 25 Nina diploma ya project planning and management,Niko single[emoji4]
Aisee ni biashara na masomo.Nambie changamoto gani hasa unayoona inakusumbua akili wewe kama kijana?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hapana kwakweli sijui kwann ilikuwa hivyo,pengine wazazi walitumia uzazi wa mpango bila shaka ila cna uhakika na hilo.Aisee kwann mlizaliwa wachache hivyo
Je ni uzazi Wa mpango
DJ sepetu
Ooh,.okayMaswali ya wengine utajibu baadae mumu
DJ sepetu
Unasoma? Je kiwango chako cha elimu?Aisee ni biashara na masomo.
Tuambie makuzi yako Na malezi ya wazazi yamekuathiri kwa namna ganiHahaha hapana kwakweli sijui kwann ilikuwa hivyo,pengine wazazi walitumia uzazi wa mpango bila shaka ila cna uhakika na hilo.
Mlidumu penzini kwa muda gani?Kwakweli sikujishughulisha kwa lolote juu ya kuokoa penzi letu,kwasababu hakuniacha kwakuniambia Bali alikuwa na mahusiano na mtu mwingine wakati bado yuko na mm,,.hivyo sikuona haja ya kuliokoa niliona limefika mwisho wake tu.
Of course kudeka kupo,ila nashukuru familia ilinilea vzr kwa misingi yote inayofaa kumkuza mtoto kijamii,kiimani na hata kitamaduni pia. Kwahiyo sijaathirika labda changamoto tuu ambazo ni part and parcel of life.Tuambie makuzi yako Na malezi ya wazazi yamekuathiri kwa namna gani
Maana mlikuwa 2 labda ulidekezwa lo!
DJ sepetu