Interview na bibie mumu

Interview na bibie mumu

Sababu gani ilifanya mkaachana?
Na je ulifanya juhudi gani kuokoa penzi lenu mpaka ukashindwa?
Kwakweli sikujishughulisha kwa lolote juu ya kuokoa penzi letu,kwasababu hakuniacha kwakuniambia Bali alikuwa na mahusiano na mtu mwingine wakati bado yuko na mm,,.hivyo sikuona haja ya kuliokoa niliona limefika mwisho wake tu.
 
Hahaha hapana kwakweli sijui kwann ilikuwa hivyo,pengine wazazi walitumia uzazi wa mpango bila shaka ila cna uhakika na hilo.
Tuambie makuzi yako Na malezi ya wazazi yamekuathiri kwa namna gani
Maana mlikuwa 2 labda ulidekezwa lo!

DJ sepetu
 
Kwakweli sikujishughulisha kwa lolote juu ya kuokoa penzi letu,kwasababu hakuniacha kwakuniambia Bali alikuwa na mahusiano na mtu mwingine wakati bado yuko na mm,,.hivyo sikuona haja ya kuliokoa niliona limefika mwisho wake tu.
Mlidumu penzini kwa muda gani?
Na nini unajutia na kukumbuka kutoka kwake kama ex wako?
 
Tuambie makuzi yako Na malezi ya wazazi yamekuathiri kwa namna gani
Maana mlikuwa 2 labda ulidekezwa lo!

DJ sepetu
Of course kudeka kupo,ila nashukuru familia ilinilea vzr kwa misingi yote inayofaa kumkuza mtoto kijamii,kiimani na hata kitamaduni pia. Kwahiyo sijaathirika labda changamoto tuu ambazo ni part and parcel of life.
 
Ocean Road sijui hana bando leo? Au hajakutana na huu uzi? Sijui kutag ningefanya hivyo. Kwenye thread kama hizi ni mtaalamu sana wakuingiza virus
 
Back
Top Bottom