Interview na bibie mumu

Interview na bibie mumu

[emoji28] [emoji28] acha tuu ndio hivyo na tangu aitoe sikuwa kumpa tena na sitompa tena...sijawahi kumtongoza mwanaume ila nimewahi kuwatamani na kuvumilia tuu,.daah mpaka nimemvulia chupi mwanaume kuna Kiasi nimemuamini,na najua yuko makini na anajali hisia zangu in case of anything hatokubali niumie.
If this is the case then what went wrong hadi your boyfriend akatembea na mwanamke mwingine behind your back. Did you try to figure that out?
 
Aisee chako chako chako chenu[emoji23] [emoji23] linapokuja suala la kumtambua mchumba Na mbanduaji hit and run unatumia mbinu gani!!
Ushawahi kopwa penzi !?
I mean kutumiwa Na kumbwagwa!

DJ sepetu
Iko hivyo bwana tangu mwanzo....sijisifii sijawahi kutumiwa na kubwaga halafu kwenye kukopwa sijawahi pia kwasababu Mimi siuzi....nna ufundi Wangu wa kujua huyu mpitaji na huyu serious[emoji5]
 
If this is the case then what went wrong hadi your boyfriend akatembea na mwanamke mwingine behind your back. Did you try to figure that out?
Naomba nivunje masharti nikujibu,.my ex bado ananipenda naweza sema hivyo yaani iko hivyo ila issue ni umbali baada ya kwenda barani Asia kimasomo alishindwa kuvumilia alini cheat na nikajua hilo ndio maana nikaaamua kuachana nae kiroho safi....umbali umeachangia kuua penzi letu.
 
Iko hivyo bwana tangu mwanzo....sijisifii sijawahi kutumiwa na kubwaga halafu kwenye kukopwa sijawahi pia kwasababu Mimi siuzi....nna ufundi Wangu wa kujua huyu mpitaji na huyu serious[emoji5]
Huo ufundi ungeweka jamvini hapa Na wenzio wafaudu[emoji23] [emoji23]
Umewahi kugonganisha!!
Laiti ukimfumania tit tat mumeo anabanjuka ktk bed lako
What first thing would you do?
How abt threesome

DJ sepetu
 
Naomba nivunje masharti nikujibu,.my ex bado ananipenda naweza sema hivyo yaani iko hivyo ila issue ni umbali baada ya kwenda barani Asia kimasomo alishindwa kuvumilia alini cheat na nikajua hilo ndio maana nikaaamua kuachana nae kiroho safi....umbali umeachangia kuua penzi letu.
Thank you mumu. The feelings is still mutual?
 
Naomba nivunje masharti nikujibu,.my ex bado ananipenda naweza sema hivyo yaani iko hivyo ila issue ni umbali baada ya kwenda barani Asia kimasomo alishindwa kuvumilia alini cheat na nikajua hilo ndio maana nikaaamua kuachana nae kiroho safi....umbali umeachangia kuua penzi letu.
Ndio maana sikuona sababu ya ku fight kwa ajili ya hilo niliogopa kuumia zaidi nikaona bora afanye vile anapenda yy lakini mm Basi na ni Basi kweli I mean it.
 
Huo ufundi ungeweka jamvini hapa Na wenzio wafaudu[emoji23] [emoji23]
Umewahi kugonganisha!!
Laiti ukimfumania tit tat mumeo anabanjuka ktk bed lako
What first thing would you do?
How abt threesome

DJ sepetu
Hapana ni ujuzi Wangu pekeangu,.sijawahi kugoganisha hata kwa bahati mbaya,...nikimfumania mume wangu nitamuuliza tuu achague kati yangu na mchepuko nani akaishi nae.
 
Nampenda sana my SUPER WOMAN MAMA ameji sacrifice sana juu yangu,kajinyima kajikosesha mambo matam ili tuu mm nifurahi nampenda jamanii huyu mwanamke siwezi elezea hapa.
Umesema unampenda mama yako than anything even your child or husband, right!!. Swali la kimentari
What if mumeo ana cheat Na amekusumbua muda mrefu anarudi usiku kalewa anakupiga frequently!

Then from no where unagundua mama yako ndio mna share!
Utaendelea mpenda mama yako as normal!

Tufanye tuu kama ni hadithi hivi haiwezi tokea..
 
Bro maswali yako mengine ni ya ajabuuu.
 
Tufanye tuu kama ni hadithi hivi haiwezi tokea..
Unapenda olewa Na mwanaume Wa aina gani vitambi wembamba or six packs
Naamin watu wanasubiri fursa!

DJ sepetu
 
Back
Top Bottom