Interview Utumishi - Credit Officer II - Self Microfinance Fund

Interview Utumishi - Credit Officer II - Self Microfinance Fund

Ila hawa jamaa wanafeli sana mda mwingine wangekuwa wanaangalia usaili wa wenye elim na uzoef kazn uwe tofauti kidogo
Utakuta apo dogo kamaliza mwaka huu kapata na uzoef hana
Eeh uzoefu sio ishu wao wanaangalia aliopata 80-100
 
Eeh uzoefu sio ishu wao wanaangalia aliopata 80-100
Unaona ss unapata garaduate ana 80 kuingia field anaoa aibu kuongea hata na wateja na mambo mengine mpaka umpe training miez 3
Wakat ungebeba wenye uzoef ni kaz moja kwa moja
 
Ni kipigo tu wahuni😅 swala la ajira litaendelea kuwa gumu mpaka CCM iachie madaraka
Eti wameniambia hawajaniita kwa kuwa nakosa relevant certificate wakati nipo gado kila idara,nikaona kazi ni za mchongo hizo kmmqe
 
SELF Microfinance Fund is a product of Government Project which was known as ‘Small Entrepreneurs Loan Facility (SELF)” formed in 1999. SELF Project was among Government programmes pursuing poverty alleviation role on behalf of the Government which was jointly funded by Government of Tanzania and African Development Bank (AfDB).
I think it supposed to be .. poverty reduction and not alleviation
 
Back
Top Bottom