Interview Utumishi - Credit Officer II - Self Microfinance Fund

Hapo mshahara Co wa kuulza bro mashirika yenye scale zao wanalipana vzr waulize wa TRC watakuambia mwenye diploma had 800k net salary hapo bado marupu rupu.. Chamsingi soma sna utumishi kugumu competition ni kubwa
Hii ya National Housing Salary scale NHC 4 ni ngap kwa anae jua.
 
Hapo mshahara Co wa kuulza bro mashirika yenye scale zao wanalipana vzr waulize wa TRC watakuambia mwenye diploma had 800k net salary hapo bado marupu rupu.. Chamsingi soma sna utumishi kugumu competition ni kubwa
Wamechelewa kuweka matokeo ya practical kulikon huko
 
Ilikuwa siyo tough ila ilikuwa ya ku surprise kidogo
 
Sasa si useme tu kuwa ilikua ni hivi na hivi ueleweke..jibu kitu kama msomi mkuu.
Ya practical ilikua ni kuutumia computer application program au kuinstall loan amortization kwa system au vp ktu ka hyo inaeza saidia make sense
 
Ila kusema kweli Ile Pepa ya written na ule mfumo wa multiple choice questions maswali yote hakuna la kujieleza au la kumention hata Moja kulikua na namna au matokeo ya kupanga, watu walikua wanajulikana, watakaokua selected Ile ilikua ni gheresha tu.
Mpaka Leo nawaza multiple choice maksi kuwa vile? Wangetumia kigezo gan kumushortlist candidate a na kimuacha candidate b wakat maksi wamelingana sawa na hakuna Cha kuwatofautisha?
 
Na kuna mtu eti kapata zero kabisa.
 
Back
Top Bottom