Interview ya Ali Kiba kwenye Mkasi Live

mr gentleman

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,222
Reaction score
4,689
Kwanza muonekano wake haswa kimavazi haujanifuraisha.

Anaelezea namna alivyo hodari kwenye soka.

Aelezea kuwa Tid alitaka kumuua..ila kaiachia serikali.

Anasema alikuwa kimya ili awe karibu na mwanae....

Baba yake na mama yake walitengana,ivyo yeye ndio analea familia tangu kitambo,mama na wadogo zake.

Diamond hakuwai kuwa mshikaji wangu,ila alikuwa akiniita kaka...na mie ndio nilitoa ruhusa apate kurekodiwa kwa bob junior.
 
Inanikera kuona watu wananicompare na Diamond...ila hainisumbui.

anaongerea zaidi Diamond kumfunika anasema maneno yanayoonesha kumchukia sana diamond.
 
Anaongelea opportunity ya kufanya na Rkelly.
 
Napenda kazi zake....anapokosea hatuna budi kumrekebisha....ktk mavazi kwenye mkasi alinilet down
.....anatakiwa kubadilika ...
 
Sasa wewe ulitaka avaaje tatizo la wengi mnakimbilia ku compare na domo kila mwanamziki na nafasi yake mbona kavaa vizuri tu kiheshima au ulitaka avae titendi na micheni kama ya mbwa kata kei na vitishirt mbano Ali kiba anajielewa hata maswali yake kajibu vizuri sio kisifa sifa kama wengine anajiheshimu
 

like...
 

nimecheka llloooh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…