mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,222
- 4,689
Kwanza muonekano wake haswa kimavazi haujanifuraisha.
Anaelezea namna alivyo hodari kwenye soka.
Aelezea kuwa Tid alitaka kumuua..ila kaiachia serikali.
Anasema alikuwa kimya ili awe karibu na mwanae....
Baba yake na mama yake walitengana,ivyo yeye ndio analea familia tangu kitambo,mama na wadogo zake.
Diamond hakuwai kuwa mshikaji wangu,ila alikuwa akiniita kaka...na mie ndio nilitoa ruhusa apate kurekodiwa kwa bob junior.