CYBERTEQ najua umepona kaka hebu pita hapa uchekeKwanza muonekano wake haswa kimavazi haujanifuraisha.
Anaelezea namna alivyo hodari kwenye soka.
Aelezea kuwa Tid alitaka kumuua..ila kaiachia serikali.
Anasema alikuwa kimya ili awe karibu na mwanae....
Baba yake na mama yake walitengana,ivyo yeye ndio analea familia tangu kitambo,mama na wadogo zake.
Diamond hakuwai kuwa mshikaji wangu,ila alikuwa akiniita kaka...na mie ndio nilitoa ruhusa apate kurekodiwa kwa bob junior.
Salama"Mimi na fetty tunaitana hawara??????"
Tatizo mnataka avae macheni, pete kubwa kofia kubwa ,mwenzenu hapendiii mbona anapendeza tu
Binafsi nilipenda sana alivyovaa Kiume ! Yes He is A true gentleman unaweza Mpeleka Kwa Baba yako bila shida !......:ranger:
Mi bado niko taabani ndugu yangu, dozi za wachina naona zinagoma tu sasa hivi natupia ngortik!:angry:
Binafsi nilipenda sana alivyovaa Kiume ! Yes He is A true gentleman unaweza Mpeleka Kwa Baba yako bila shida !......:ranger:
Ahhhha pole sana mungu atakuafu utapona
Amin..!
Binafsi nilipenda sana alivyovaa Kiume ! Yes He is A true gentleman unaweza Mpeleka Kwa Baba yako bila shida !......:ranger:
Wengine wanaona kuwa msanii hadi uwe na kiduku
Umekalia majungu tuuu
Sasa aliyeleta hii thread alitaka tujadili kitu gani hasa?
Leo nimecheka sanaa yaan nimekukumbuka by the way nina mazito mwenzio