Interview ya Ali Kiba kwenye Mkasi Live

Interview ya Ali Kiba kwenye Mkasi Live

Kwanza muonekano wake haswa kimavazi haujanifuraisha.

Anaelezea namna alivyo hodari kwenye soka.

Aelezea kuwa Tid alitaka kumuua..ila kaiachia serikali.

Anasema alikuwa kimya ili awe karibu na mwanae....

Baba yake na mama yake walitengana,ivyo yeye ndio analea familia tangu kitambo,mama na wadogo zake.

Diamond hakuwai kuwa mshikaji wangu,ila alikuwa akiniita kaka...na mie ndio nilitoa ruhusa apate kurekodiwa kwa bob junior.
CYBERTEQ najua umepona kaka hebu pita hapa ucheke
 
Last edited by a moderator:
keep it up dada.masika mbili zijazo utakuwa pamoja na imelda mtema globalpublisher
 
Binafsi nilipenda sana alivyovaa Kiume ! Yes He is A true gentleman unaweza Mpeleka Kwa Baba yako bila shida !......:ranger:

Ally K ni mfano wa kuigwa sana kwa Vijana wanaochipukia kwenye sanaa....
 
Binafsi nilipenda sana alivyovaa Kiume ! Yes He is A true gentleman unaweza Mpeleka Kwa Baba yako bila shida !......:ranger:

Kwaio unataka kusema Kiba alivaa kama anakwenda ukweni?...una balaa wewe.
 
Back
Top Bottom