Interview ya Ali Kiba kwenye Mkasi Live

Interview ya Ali Kiba kwenye Mkasi Live

Napenda kazi zake....anapokosea hatuna budi kumrekebisha....ktk mavazi kwenye mkasi alinilet down
.....anatakiwa kubadilika .
..

huo ni ukweli ambao wengi wa mashabiki wake hawataki kuusikia....star look muhimu!appearance ya kinyamwezi haichoshi washabiki kuangalia siyo kama alivyovaa ali kiba!alikuwa kama mangi flani mwenye kiduka cha rejareja kipya akihojiwa kuhusu biashara yake!.....ali kiba akumbuke anafanya music na si mwalimu wa madrasa so muonekano flani ni muhimu hii usimple simple itamcost na atabaki kuoneka kama underground mwenye heshima mtaani tu!game imebadilika!.......mfano mdogo ajifunze kwa mtu kama IZZO B!jamaa si mzuri sana kwenye game ila anavyojiweka ndio silaha yake kubwa katika game
 
Na akumbuke Kuwa...marketing strategy ni pamoja na mavazi.........!ni kitu kidogo lakin kina impact kubwa ......me naomba ajitahid ili twende pamoja......
 
Mwanamuziki wa Bongo Flava, Ali
Kiba amefunguka kuhusu mambo
yaliyomkwaza kutoka kwa Diamond
miaka michache iliyopita baada ya
mkali huyo kutoka na wimbo wa
‘Kamwambie’ uliogeuka kuwa wimbo
wa taifa wa Bongo Flava kwa muda.
Akiongea na kipindi cha Mkasi, Ali
Kiba ameeleza kuwa yeye ndiye mtu
aliyepitisha ombi la Diamond
kurekodi katika studio za SharoBaro
kwa kuwa wakati huo alikuwa mdau
mkubwa katika uongozi wa studio
hizo lakini matokeo yake yalimgeukia
hadi kuamua kujitoa katika team
hiyo.
Ameeleza kuwa mara baada ya
Diamond kutoka na Kamwambie,
aliona gazeti moja lililokuwa
lililomkariri akisema kuwa yeye ndiye
‘fimbo’ ya Alikiba na amekuja
kumfunika.
Hata hivyo maneno yaliyowekwa
kaitika gazeti hilo yalianza kuaminika
kwa Ali Kiba baada ya kukutana nae
mara kadhaa kwenye shows.
“Lakini nilishawahi kukaa na
Diamond katika mikutano ya Shows
ambazo tunaitwa pamoja wasanii na
nini na nini. Mimi napendaga
kuongea nae kama mdogo wangu kwa
sababu the way nilivyokuwa
nikimtreat ni kama wadogo zangu
wengine akina Bob Junior akina
nani… Nilimsikia akiongea sana
kwamba nimekufunika kwenye show
fulani, nimekufunika kwenye show
fulani. Kwa kweli the way nilivyokuwa
nikimtreat kama mdogo wangu. Kwa
hiyo yeye alikuwa ameconcentrate
sana katika kunifunika.” Alieleza Ali
Kiba.
“Mimi sio mtu wa kumind sawa. Kwa
hiyo alivyokuwa anaongea
anajifurahisha. Hata kama
amenifunika mimi nilikuwa naweza
kumpigia makofi vilevile. Si nataka
afanikiwe. Kwanza nafurahi. Napenda
sana challenge. Inakufanya
unaaamke.” Aliongeza.
Kujirudia kwa neno ‘kufunika’ kila
walipokuwa akikaa na Diamond
kuligeuka kuwa kero kwa Ali Kiba
huku mengine yakipenya kutoka kwa
watu wake wa karibu.
“Kwa hiyo kitu ambacho kilikuwa
kinahappen tukiwa karibu hivi, ni
hivyo vitu ambavyo akizungumziwa
nimekufunikaa..nimekufunika.
Nikawa nikitoa video nasikia
maneno, kwamba ‘Ali amesikia
maneno nimetoa hii na yeye ametoa
hii’. Mi sijawahi kumsikia mwenyewe
akisema. Ila watu wake wa karibu wa
karibu wanakuja wanasema. Unaweza
kumjua mtu tabia yake kwa
kumuangalia, kwa kuishi nae.”
Ali ameeleza kuwa hata baada ya
kuamua kukaa kimya amlee mwanae
wa kiume alisikia tena maneno
kutoka kwa mwimbaji kwa Diamond
kuwa amemkimbia.
Hata hivyo, hii ilikuwa story ya
zamani ambayo wengi wanaweza
kuwa nayo lakini ikamhusu mtu
ambaye kwa sasa amekuwa rafiki wa
kudumu.
Hivi karibuni Ali Kiba alisema kuwa
hana tatizo lolote na Diamond na
kuwataka watu wasimgombanishe na
msanii huyo.
Ni muda wa biashara. Yaliyopita si
ndwele (maradhi) tugange yajayo
kwa maendeleo ya Bongo Flava.
Kilichobaki ni ushindani wa
kibiashara kama alivyosema Babu
Tale.
 
Ally anashindwa kuficha chuki yake kwa Diamond, body language na facial expression zinaexpose kilicho moyoni mwake.

Analalamikia aliyokuwa anayasikia kwa watu au kusoma magazetini bila kuwa na uhakika kama kweli Diamond alitamka ama la....sidhani kama hayo yanatosha kumuhukumu mtu.

Kuna jambo alitaka kuongea Salama akasita, ni kama alitaka kumwambia Ally kuwa watu kukulinganisha wewe na Diamond ni sawa na kumlinganisha Marehemu Marijani Rajab (Mungu amrehemu) na Fresh Jumbe.....Ally ni Fresh Jumbe.
 
huo ni ukweli ambao wengi wa mashabiki wake hawataki kuusikia....star look muhimu!appearance ya kinyamwezi haichoshi washabiki kuangalia siyo kama alivyovaa ali kiba!alikuwa kama mangi flani mwenye kiduka cha rejareja kipya akihojiwa kuhusu biashara yake!.....ali kiba akumbuke anafanya music na si mwalimu wa madrasa so muonekano flani ni muhimu hii usimple simple itamcost na atabaki kuoneka kama underground mwenye heshima mtaani tu!game imebadilika!.......mfano mdogo ajifunze kwa mtu kama IZZO B!jamaa si mzuri sana kwenye game ila anavyojiweka ndio silaha yake kubwa katika game

Huu sisi ndio tunaita ulimbukeni....kila mtu anadress code yake sasa kwa vile wewe ni wa sitimbi umewehuka na cheni na pete na hereni....Kiba ni matured alishapita kote hukoo he's a legend and smart...By the way unamjua Pharrel Williams? Yupo simple kiuvaaji na ni big star duniani..unalingine???
 
Sio huyo tu kuna kina John Legend
.
300x300.jpg
 
Mkuu, ulitaka mbana pua avae skin tight kama nduguze kina TID, Ommy Dimpoz, Diamond?
 
Ally anashindwa kuficha chuki yake kwa Diamond, body language na facial expression zinaexpose kilicho moyoni mwake.

Analalamikia aliyokuwa anayasikia kwa watu au kusoma magazetini bila kuwa na uhakika kama kweli Diamond alitamka ama la....sidhani kama hayo yanatosha kumuhukumu mtu.

Kuna jambo alitaka kuongea Salama akasita, ni kama alitaka kumwambia Ally kuwa watu kukulinganisha wewe na Diamond ni sawa na kumlinganisha Marehemu Marijani Rajab (Mungu amrehemu) na Fresh Jumbe.....Ally ni Fresh Jumbe.

Niliangalia ile interview Duh noma....jamaa ana chuki kali sana na Diamond...na kama unatumia akili unajua tu sababu haswa ni kuzidiana,maana alichokuwa anakiongea mie ata sikukielewa...ilikuwa naskia naskia naskia naambiwa naambiwa naambiwa. Uso wake ulieleza kila kitu.
 
Huu sisi ndio tunaita ulimbukeni....kila mtu anadress code yake sasa kwa vile wewe ni wa sitimbi umewehuka na cheni na pete na hereni....Kiba ni matured alishapita kote hukoo he's a legend and smart...By the way unamjua Pharrel Williams? Yupo simple kiuvaaji na ni big star duniani..unalingine???

Muonekano wa Kiba inabidi aufanyie kazi,akutoka poa siku ile yani hakuwa ata simpo ila alionekana kama kolo fulani hivi ... Pharrel ni simpo but sure usilinganishe kabisaa,Kiba abadilike lasivyo ataishia kuitwa mkali.
 
we pharell umemjua leo?huo usimple wa pharell utafananisha na kichekesho alichovaa ali kiba katika mikasi?ali kiba aligonga vitu vya kidwanzi kabisa ni matusi kumfananisha na usimple wa pharell......ukigonga vitu simple gonga vitu simple vinavyoeleweka na classic
 
Muonekano wa Kiba inabidi aufanyie kazi,akutoka poa siku ile yani hakuwa ata simpo ila alionekana kama kolo fulani hivi ... Pharrel ni simpo but sure usilinganishe kabisaa,Kiba abadilike lasivyo ataishia kuitwa mkali.

kula gwara baharia wangu!.....alijiweka muonekano wa kipimbi sana na hilo tatizo fans wake hawamchani!..alikuwa kama mpemba flani mvuvi!...Top In Dar ,TID alipokuwa anasumbua mjini alikuwa anagonga vitu simple sana lakini vya kijanja na watu kibao walikuwa wanazimika muonekano wake ule!ila hii ya ali kiba sio simple labda swimple!hamnaga simple ile ya kigoroko!
 
Sio huyo tu kuna kina John Legend
.
300x300.jpg

wabongo ndo tunapokosea!...mtu ataenda kariakoo kununua t shirt yake nyeupe ya MANGA ya buku 5 akiigonga atataka kujitia kagonga simple kama John Legend....iangalie vizuri hiyo t shirt,angalia vizuri hiyo body ndo utajua kuna usimple na ugoroko
 
embu tupieni picha bhaana!! na sisi ambao ha2jacheki kipindi,2one alivyotupia kachumbari, ...........

Grand PA
 
wabongo ndo tunapokosea!...mtu ataenda kariakoo kununua t shirt yake nyeupe ya MANGA ya buku 5 akiigonga atataka kujitia kagonga simple kama John Legend....iangalie vizuri hiyo t shirt,angalia vizuri hiyo body ndo utajua kuna usimple na ugoroko

Hahaha eti manga!! izo manga si ndio wanapigiaga mihuri madizaina wetu kibongobongo alafu wanaingiza sokoni.. Iyo tshet ya john legend ni material classic haitishi lakini sumu mpk uwe na jicho la vitu ndio utaelewa....
 
kwel kiba ajipange kimavazi ule sio usimple kama fans wake wanavyojaribu kumtetea coz ata ordinary person hawez kuita simple dizain ya kiba achilia mbali jamaa ni public figure
 
Alivaa vizuri,nilipenda....he is so handsome,sijui huyo ndomo angekua kama kiba angefanyaje???I can't imagine
 
Back
Top Bottom