Interview ya Diamond Clouds: Namshauri ajihadhari na udhalilishaji wanawake

As for my opinion,Dai ni mvulana wa kawaida tu. Hata madam siyo mke wake na wala siye aliemtoa kwa Don, So yule mama asijimilikishe na kuendekeza kuzaa kila siku Mwenzie bado hajafika mwisho wa reli bado yuko Itigi,Kigoma labda kesho kama treni haitapata matatizo.

Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
 
Zilipendwa na seduce me zimezimwa kisa kiki la daimondi rimekubali 100% dah kuna watu wana akili kweli hadu mnasahau wagonjwa kuleee eti kisa daimondi zari na hamissa mobutu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…