Interview ya kazi ya Utumishi wa Mahakama imetoka?

Moniel

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2020
Posts
274
Reaction score
603
Habari zenu wakuu!

Niliomba nafasi ya kazi ya Accounts officer katika tume ya utumishi wa mahakama katika mfumo wao wa kutuma maombi (Online Application),
Leo mchana nimesikiliza Tbc FM kuwa majina yalishatoka kwa ajili ya interview lakini bado sijatumiwa ujumbe Hata kuona kwenye account yangu Kama nimekuwa selected au hapana.
Naombeni msaada kwa yeyote aliyefanya application aniambie majina yanakuwa wapi.
Ahsante.
 
Sijasikia chochote kuhusu interview za mahakama ingawa nimeomba pia hyo post ya account....nafikiiri mchakato hauwez kuwa haraka hvo at least two weeks since deadline
 
Kuna msg inatembea wanasema tayar Ila sijaona hayo majina...Ila wamekata sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…