Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ajila portal hakuna maluwe luwe mkuu jipange tu vzr Mimi huu mwaka lazima nitoboe.h
Hivi nitakuja kuajiriwa kweli kwenye nchi hii,daah kila siku nanusa pumzi ya moto [emoji17]
Ajira portal siku hizi kuna figisu figisu kibao! Kuna post ambazo hata kama una sifa inayotakiwa mfumo unakuambia: "Application failed" check the academic programs required!! Waathirika wakubwa wa hii kitu ni watu wa Education!!Kutoboa apa ni zaidi ya kupenya kwenye tundu la dirisha, usikate tamaa tupambane na ajila portal huku nani anakujua zipo kibao.View attachment 2259078
Daah inavunja moyo kwakweliNilihisi kitu Kama hicho. Hakuna Hata jina la mdau yoyote hapo ninayemjua.
Hahaha pambana na hali yakoHebu fikiria: Taarifa iliyotoka jana tarehe 12/06/2022 rasmi ni taarifa tu ya idadi ya wasailiwa kwa kila fani, lakini majina ya wasailiwa hayajatoka rasmi. Wahusika wameambiwa tu kuwa waendelee kufuatilia tovuti ya tume ya mahakama. Usaili ni tarehe 15/06/2022 hapo muda wa kujipanga kwenda kwenye usaili uko wapi? Sema wadau hapa Jf wamelikisha majina lakini majina yaliyopatikana kwa njia ya panya huwezi kuyategemea sana! Yakitoka majina rasmi kwenye tovuti ya tume na jina lako likawa halipo huwezi kudai kuwa kwenye post ya Jf jina langu lilikuwepo. Kuna mtu atalazimika kusafiri toka mikoa ya mbali kuelekea kwenye usaili. Anapaswa kupewa angalau siku 7 za kujipanga kwa habari ya nauli na pesa za kujikimu. Tume ya mahakama inabidi tuiambie wazi kuwa HII SI HAKI. This is ROUGH PLAY!
Tukomae ajila portalHebu fikiria: Taarifa iliyotoka jana tarehe 12/06/2022 rasmi ni taarifa tu ya idadi ya wasailiwa kwa kila fani, lakini majina ya wasailiwa hayajatoka rasmi. Wahusika wameambiwa tu kuwa waendelee kufuatilia tovuti ya tume ya mahakama. Usaili ni tarehe 15/06/2022 hapo muda wa kujipanga kwenda kwenye usaili uko wapi? Sema wadau hapa Jf wamelikisha majina lakini majina yaliyopatikana kwa njia ya panya huwezi kuyategemea sana! Yakitoka majina rasmi kwenye tovuti ya tume na jina lako likawa halipo huwezi kudai kuwa kwenye post ya Jf jina langu lilikuwepo. Kuna mtu atalazimika kusafiri toka mikoa ya mbali kuelekea kwenye usaili. Anapaswa kupewa angalau siku 7 za kujipanga kwa habari ya nauli na pesa za kujikimu. Tume ya mahakama inabidi tuiambie wazi kuwa HII SI HAKI. This is ROUGH PLAY!
Umeandika nini?Hebu fikiria: Taarifa iliyotoka jana tarehe 12/06/2022 rasmi ni taarifa tu ya idadi ya wasailiwa kwa kila fani, lakini majina ya wasailiwa hayajatoka rasmi. Wahusika wameambiwa tu kuwa waendelee kufuatilia tovuti ya tume ya mahakama. Usaili ni tarehe 15/06/2022 hapo muda wa kujipanga kwenda kwenye usaili uko wapi? Sema wadau hapa Jf wamelikisha majina lakini majina yaliyopatikana kwa njia ya panya huwezi kuyategemea sana! Yakitoka majina rasmi kwenye tovuti ya tume na jina lako likawa halipo huwezi kudai kuwa kwenye post ya Jf jina langu lilikuwepo. Kuna mtu atalazimika kusafiri toka mikoa ya mbali kuelekea kwenye usaili. Anapaswa kupewa angalau siku 7 za kujipanga kwa habari ya nauli na pesa za kujikimu. Tume ya mahakama inabidi tuiambie wazi kuwa HII SI HAKI. This is ROUGH PLAY!
Hakuna uhuni wowote mkuu, Mahakama wako vizuri sana hasa katika hili la kufanya interview kikanda, itapunguza sana gharama za kusafiri umbali mrefu kwa ajili ya usaili, UTUMISHI waige hili la hii style ya Mahakama.
Tatizo ni kutoa notisi ya muda mfupi. Wewe kama unaweza kupata taarifa leo na kesho ukaweza kusafiri mshukuru Mungu. Kuna wengine wanahitaji kujipanga kidogo kumudu gharama. Sekretarieti ya ajira hutoa angalau siku 7. Hii tume ya mahakama ni jipu!!Hakuna uhuni wowote mkuu, Mahakama wako vizuri sana hasa katika hili la kufanya interview kikanda, itapunguza sana gharama za kusafiri umbali mrefu kwa ajili ya usaili, UTUMISHI waige hili la hii style ya Mahakama.
Wewe kama ni wa tunduma nenda mbeya, kama ni wa Karatu nenda arusha, kama ni wa Geita nenda Mwanza,nk. Hiyo ndo raha ya Mahakama, siyo Yale ya Utumishi eti mtu anatoka to rorya kwenda kufanya interview Dodoma, kwanza mbali nauli kuubwa.Tatizo ni kutoa notisi ya muda mfupi. Wewe kama unaweza kupata taarifa leo na kesho ukaweza kusafiri mshukuru Mungu. Kuna wengine wanahitaji kujipanga kidogo kumudu gharama. Sekretarieti ya ajira hutoa angalau siku 7. Hii tume ya mahakama ni jipu!!
Beba vyeti weweeeSiku ya interview ukienda na copy ya vyeti ila ni coloured ni sawa?
Ulifauluje chuo kikuu kwa akili hizi?Siku ya interview ukienda na copy ya vyeti ila ni coloured ni sawa?