Atoto yule anataka au anajiona ni international musician?Kiswahili tunaongea tangu utotoni lakini bado kinatupiga chenga, seuse lugha hiyo ya monsoon winds!!
Kitaeleweka tu taratibu.
Umepaniki bro mbona sikusomi mkuu. Kunywa pepsi kwanza halafu uje tena au kama vipi hebu kajiandae"kugombana na meneja wako eti kisa nae ana demu ukaskia wivu nayo ni [HASHTAG]#KOKORO[/HASHTAG]" daah Chibu kweli muhuni teh teh teh bwana Nyembo kapayikana. anyway wamanyema hawa wanajana.
Babu unatetemeka au!!! Tulia basi uandike vizuri."kugombana na meneja wako eti kisa nae ana demu ukaskia wivu nayo ni [HASHTAG]#KOKORO[/HASHTAG]" daah Chibu kweli muhuni teh teh teh bwana Nyembo kapayikana. anyway wamanyema hawa wanajana.
Ulimbukeni unamsumbua anahitaji wataalamu wakisaikolojia huyu tangia akose tuzo hayuko vzuri full kuandika vitu vya ajabu ajabu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wamepoaaaaàSipati picha Ommy lingemtoka povu leo, huu uzi ungekuwa page ya 200 now.
Ommy konyo kweli,very smart.
Poa wewe jiandae tu tutakupitiaNiwathindikidhe???[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Kamsaidie basi, ingekuwa mchina kakosea kiingereza, au mzungu kakosea kiswahili ungeona kawaidaaa!!!Atoto yule anataka au anajiona ni international musician?
Sasa inabidi achangamke na mabroken yake ikiwezekana hata afoke na watoto wake ili azoeee
Ujue ni mda mrefu hadi nashangaa Domo kumpita...
Mpumzishe babu jamani, maana sio kwa hili pigo alowapa Ommy!!Umepaniki bro mbona sikusomi mkuu. Kunywa pepsi kwanza halafu uje tena au kama vipi hebu kajiandae
#KAJIANDAE#
Kwani nani anataka kumshusha, ukimuangalia vizuri nani anataka kumshusha mwenzie?Mayotte Mayotte Mayotte, haters gonna hate,HAKUNA KINACHOWEZA KUMSHUSHA MONDI KWA SASA,SIO MBAYA MKIENDELEA KUJIFURAHISHA HAPA JF.
Alijiandaa kwa vichambo sasa hana pa kuvipeleka unategemea atakuaje? Maskini hadi huruma unaweza sema aliyeandika ni mkongo asiyejua kiswahili kumbe long time kitambo anagonga swahili[emoji1]Babu unatetemeka au!!! Tulia basi uandike vizuri.
Teh teh teeeeeh!!!
Tatizo kwetu tandaleeee........Jamaa sijui kala nini, mi nilijua baada ya alicho kifanya jana pamoja na majibu ya mwenzake leo labda angejitafakari lakini ndio kwanzaa anaendelea kutapika...kazi ipo
Huyu kuna kipindi alikua anajibizana na kina wema Mara joketi makombo akasemwa sana akajirekebisha. Naona ameanza tena mipasho yake sifa ya mwanaume kifua mipasho awaachie wanawake.Jamaa sijui kala nini, mi nilijua baada ya alicho kifanya jana pamoja na majibu ya mwenzake leo labda angejitafakari lakini ndio kwanzaa anaendelea kutapika...kazi ipo
Mambo si ndio hayo sasa, alafu kitu kinapigwa hapa, yaani daaah!! Hii kweliPoa wewe jiandae tu tutakupitia
#KAJIANDAE#
Sipanic kwa ujinga ujinga hata siku moja,tabia za omari zinajulikana, tangu kitambo dogo anajulikana ana usnitch flani hivi wa kipuuzi na vitabia vya kimama mara Lord eyez kamuibia gari mara nini.utoto mtupu.Umepaniki bro mbona sikusomi mkuu. Kunywa pepsi kwanza halafu uje tena au kama vipi hebu kajiandae
#KAJIANDAE#
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Alijiandaa kwa vichambo sasa hana pa kuvipeleka unategemea atakuaje? Maskini hadi huruma unaweza sema aliyeandika ni mkongo asiyejua kiswahili kumbe long time kitambo anagonga swahili[emoji1]
Dogo kiropo ropo sana, akakae na akina Ommy wamfundishe busara.Huyu kuna kipindi alikua anajibizana na kina wema Mara joketi makombo akasemwa sana akajirekebisha. Naona ameanza tena mipasho yake sifa ya mwanaume kifua mipasho awaachie wanawake.
Chinga umepanic Leo domo kawatia aibu mashabiki zake ommy dimpoz yuko vzuri aisee kajibu kihekima.Sipanic kwa ujinga ujinga hata siku moja,tabia za omari zinajulikana, tangu kitambo dogo anajulikana ana usnitch flani hivi wa kipuuzi na vitabia vya kimama mara Lord eyez kamuibia gari mara nini.utoto mtupu.
Bado unamuongelea Ommy? Mbona kama hizi sifa za naniliu.Sipanic kwa ujinga ujinga hata siku moja,tabia za omari zinajulikana, tangu kitambo dogo anajulikana ana usnitch flani hivi wa kipuuzi na vitabia vya kimama mara Lord eyez kamuibia gari mara nini.utoto mtupu.
sawa salaam SK..tumeskiaaSipanic kwa ujinga ujinga hata siku moja,tabia za omari zinajulikana, tangu kitambo dogo anajulikana ana usnitch flani hivi wa kipuuzi na vitabia vya kimama mara Lord eyez kamuibia gari mara nini.utoto mtupu.