Interview ya Ommy Dimpoz: Bifu lake na Diamond, hastahili lawama

Ulisikia ile kashfa ya gazetini kwamba jamaa anamlala mama yake kila jumatano ili asishuke kimziki?kashfa kubwa sana kwa D
hayo ni madai ya kipuuzi maana muda mwingi jamaa anakuwa nje sasa kama ni kila jumatano anapokuwa nje inakuwaje.
mfano toka jana namuona anapost akiwa visiwa vya mayoti sasa jana si jumatano..
magazeti mengine ni tatizo.
 
Ommy Dimpoz nilikuwa namwona jamaa wa ajabu sana ila leo kama alicho kiongea ni kweli dah! nimeumia aisee sometime kikulacho kipo nguoni mwako!

Anacho kifanya diamond ni mechanical diffence anajilinda asishtukiwe kumbe dai anapumuliwa jinga kabisa

Halafu utamskia akisema vijana tupambane anaetaka support ajitokeze atamsupport kumbe mkuda tu
 
Diamond na Ali Kiba wana beef kubwa sana,Diamond na Dimpoz walikuwa washkaji sana na leo ameongea hilo but walipishana lakini ugomvi wao haukuwa mkubwa kiasi hiki.Baada ya Dimpoz kufanya kolabo na Kiba nae amejiunga timu Kiba huko Instagram kumponda Diamond ndio ugomvi ukafumuka tena juzi .Diamond wakati anahojiwa juzi madongo mengi alikuwa anampiga Ally Kiba siyo Dimpoz so kitendo cha Kiba kukaa kimya kinampa credit beef inaonekana siyo yake
 
Ommy anapumuliwa na mwarabu
 
Huna akili wewe alikiba na rich mavoko wapi na wapi
Barakah ndo alimwambia mavoko hivyo na sio alikiba huo mda anatoa wapi wa kumwambia
[emoji2] [emoji2] [emoji2] una mtetea king
 
Hujui huu ugomvi,Beef ni Kiba na Diamond Dimpoz ameingilia ndio maana yanamkuta,jiulize miaka yote Dimpoz na Diamond walipishana lakini uliwahi kusikia wanatukanana?

Yeah mmoja kamwambia mwenzake kuwa anapumuliwa kwa maana ya shoga na amedai pia kuna mengi zaidi anayajua na ameamua kumsitiri na kibaya zaidi ni sio story ya kuficha kwa maana alimtaja hadi jina kabisa, kwani jana hukusikia kwenye interview yake XXL ?
 
hayo ni madai ya kipuuzi maana muda mwingi jamaa anakuwa nje sasa kama ni kila jumatano anapokuwa nje inakuwaje.
mfano toka jana namuona anapost akiwa visiwa vya mayoti sasa jana si jumatano..
magazeti mengine ni tatizo.
Na madai kama hayo yanageuka kuwa aibu yanapotoka kwa mtu ambae anaonekana kama mwanaume! Hata hivyo usishangae... ndo zile akili mbovu za Kiafrika kwamba, kila penye mafanikio kuna uchawi! Akili za kipu.mbavu kabisa!
 
Sio kila kovu linaweza kufutika kirahisi! Makovu mengine makovu Nagwa! Hayafutikagi ng'oo!!! [HASHTAG]#kajiandae[/HASHTAG]!
Ommy Ana moyo was lipekee, scandal nzito sana ila kapara nguvu za kusimama na kujielelezea ana sofa za uanaume
 
Nashangaa watu wanamsifia kaongea kistaarabu,lazima awe mpole kupumuliwa si mchezo,halafu mbona kamtukana mama wa Mwenzie, Hana tofauti na shish boy kumwingiza mama kwenye ma ugomvi Yao siku wakipatana atamwangaliaje huyo mama amekosa kitu cha kumuumiza nacho Dai,hata kama anajua huyo mama anapenda dogo dogo hakuwa na sababu ya kumwingiza huyo ni kama mamake.Mpaka hapo hii issue ya ushoga Ina walakini, Dai walikuwa karibu sana amekosa kitu chochote anachokijua juu yake mpaka amchanganye mamake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…