Umemsikiliza kwanza Jana alivokuwa akitoa mapovu??Kama Dimondi kamfanyie mizevezo yote aliyotaja basi domondi ana matatizo.
Ka audio ka interview yake katupiemo basi na wengine tupate kumsikiza...Ommy Ana moyo was lipekee, scandal nzito sana ila kapara nguvu za kusimama na kujielelezea ana sofa za uanaume
1/4 hamkosekaniHakukuwa na mamna tena,zaidi ya kujishusha na kuongea kwa upole ili aonewe huruma,maana ile kashfa ya ushoga siyo ya kitoto[emoji38]
Mbona hajasema kama Diamond alimkopa million 10 na mpaka leo hajamlipa?!Ommy huwezi kuwa msanii bora kwa kutafuta kiki kwa Dee.
Una uhakika kama alilala naye?!we ukiambiwa leo umezini na mamako unataka watu tuamini?!Na kulala na mama ako aliekuzaa unaona afadhali!
Poor you!
Simtetei ila kwa akili ya kawaida we unaona anaweza akasema hivyo kweli kama anashindwa kumshauri abdu kiba ataweza vipi kumshauri mavoko[emoji2] [emoji2] [emoji2] una mtetea king
OMG[emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Ulisikia ile kashfa ya gazetini kwamba jamaa anamlala mama yake kila jumatano ili asishuke kimziki?kashfa kubwa sana kwa D
Mnafiki tu yule bwana,kama unaakili za kushikiwa ndio utamwamini,ila kama akili yako imepevuka utajua jamaa katafuta huruma ya wananchi wajiingaNashangaa watu wanamsifia kaongea kistaarabu,lazima awe mpole kupumuliwa si mchezo,halafu mbona kamtukana mama wa Mwenzie, Hana tofauti na shish boy kumwingiza mama kwenye ma ugomvi Yao siku wakipatana atamwangaliaje huyo mama amekosa kitu cha kumuumiza nacho Dai,hata kama anajua huyo mama anapenda dogo dogo hakuwa na sababu ya kumwingiza huyo ni kama mamake.Mpaka hapo hii issue ya ushoga Ina walakini, Dai walikuwa karibu sana amekosa kitu chochote anachokijua juu yake mpaka amchanganye mamake?
Ha ha ha ushaanza kupanic,Una uhakika kama alilala naye?!we ukiambiwa leo umezini na mamako unataka watu tuamini?!
Ushoga hauna kificho,waliomla ndio wamesema
Jaman emb mwacheni Ali kiba, team ujanja vepeeeHamzidi Ali kiba aliomuabia rich mavoko asi sign w.c.b et atapotea kimziki
Ommy kadinda au ommy kaogeKutokana na maelezo ya ommy nimeshapata jibu nani ananpumuliwa
[emoji2] [emoji2] [emoji2] viwanda vyenyewe havijengwi wacha tufanye ufukununuDaaa watu mnapenda tufununu balaa, ha ha ha
iko wapi hiyo interview??Leo nimemsikiliza huyu jamaa uwa simpendi ila leo nimemwelewa na sidhani kama ni wakutupiwa lawama juu ya hili bifu lake na diamond.
Et jamani! Mkuu watu wengine wana uteam mpaka katika mambo ya kijingaKumlala mama yako sio cha kushangaza!!!!
Weka uthibitishoOmmy anapumuliwa na mwarabu
Kaburi mbona lipo tu bila hata kujichimbia?!uchawi ungekuwa unaleta utajiri basi waganga wa kienyeji wote wangekuwa mabilioneaHa ha ha ushaanza kupanic,
Kumlala maza ni laana bro! Muachane na utajiri wa dizaini hiyo mnajichimbia kaburi!
Ommy anakwambiaje yeye angekuwa ni mtu wa kwanza kusaini wcb ila diamond alikuwa anamwekea kauzabeWazungu wanasemaga Either you fight them or you join them.
Kitendo cha Ommy kujiunga na Kiba inaonesha kaamua kufight against WCB.
Kama kaamua kukaza akaze mwanzo mwisho atengeneze pesa zake maana kipaji anacho.
Kama hawezi kukaza basi ajiunge lebo ya WCB atengeneze pesa pia.
Natamani siku m0ja atoe remix ya miss khoi khoi na Wid Kid, naamini itabamba Africa nzima
Wakati Jana mchana alikuwa xxl na yeye huko visiwan kaenda SAA ngapi, ongea ulicho na uhakika nachohayo ni madai ya kipuuzi maana muda mwingi jamaa anakuwa nje sasa kama ni kila jumatano anapokuwa nje inakuwaje.
mfano toka jana namuona anapost akiwa visiwa vya mayoti sasa jana si jumatano..
magazeti mengine ni tatizo.